Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
- Thread starter
- #101
in short ni muhuni na Malaya, ni hatari sana Malaya na wahuni kuwa ndo mifano ya kuiga kwa watoto wetuMtoa Mada ni mjinga Sana Mimi baba yangu yupo , na miaka 70 hajaoa na ameishi Maisha yake yote sijawai kumuona na Mwanamke zaidi ya miaka 50 na Hana stress katusomesha na kajenga nyumba kazaa na Hadi Muda huu nakaa naye Mimi nafata nyayo zake