Mwanaume aghairi Harusi baada ya mchumba wake kukataa kumtaja mtu aliyempa Iphone 13 Pro Max

42774277

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
6,833
Reaction score
8,853
Ni huko kwa wanaijeria.

Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding.

Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya Gharama akadali ni Family member.

Alipoulizwa huyo Family member ni nani akagoma kudisclose Identity yake huku akiinstist kuwa ni Family member.

Basi jamaa akaona isiwe shida, Akacancel wedding.

Unaweza kuangalia zaidi.

=====

A young man has cancelled his wedding after his fiancee failed to reveal who bought her an iPhone 13 Pro Max. The couple who got engaged to each other were getting set to tie the knot when the lady came home with an iPhone 13 Pro Max.

Her curious lover asked who got the expensive phone for her and she insisted that it was a family member. When asked further to disclose the name of the family member, the lady refused and this infuriated her lover who immediately cancelled the wedding.

legit
 
Binti hakuwa amemaliza ngwe za ujana
 
Turidhike na tulichonacho....kama ndoa aliitaka angetuliza huenda angenunuliwa akiolewa
 
Ni huko kwa wanaijeria.

Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding.

Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya Gharama akadali ni Family member.

Alipoulizwa huyo Family member ni nani akagoma kudisclose Identity yake huku akiinstist kuwa ni Family member.

Basi jamaa akaona isiwe shida, Akacancel wedding.

Unaweza kuangalia zaidi.

=====

A young man has cancelled his wedding after his fiancee failed to reveal who bought her an iPhone 13 Pro Max. The couple who got engaged to each other were getting set to tie the knot when the lady came home with an iPhone 13 Pro Max.

Her curious lover asked who got the expensive phone for her and she insisted that it was a family member. When asked further to disclose the name of the family member, the lady refused and this infuriated her lover who immediately cancelled the wedding.

legit
Safi amefanya maamuzi ya kiume
 
The guy is a one man down on Earth, indeed he's one in a million.

Maamuzi aliyoyafanya ndo Yale tunayoitaga" maamuzi magumu"

Jamaa ajengewe sanamu la heshima huko Lagos.Najitolea kuchangia cement mifuko 4.
 
Back
Top Bottom