Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

Wei .. Inatisha hivi wanaume akili zenu siku hizi mmeziweka kwenye mifuko ama?
Ni nini kwenda kujikamlisha huko jamani .... Na yeye alipata uchungu sio?
 
Elimu, Elimu, Elimu!!! Money Penny uliyeleta mada hii na kuweka hiyo clip una idea yoyote kuhusu anatomy ya viongo vya uzazi vya mwanamke na mwanamme kwa ndani na kwa nje?? Elimu, Elimu, Elimu! Shame on you!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…