Karibu siku zinavyozidi kwenda, dunia I napata uvumbuzi mwingi sana
Amepatikana mwanaume aliezaa huko nchi ni marekani
Huyu hapa kwenye video muone
ok sawaHahahaha
Njoo angalia hii labda utaelewa
UKISTAAJABU YA MUSA
YA FIRAUNI YATAKUSHINDA
JIONEE MWENYEWE
Akibadili jinsia hawezi itwa tena mwanaume Bali ni Mwanamke.Hata ya ukweli ipo, na ilitrend miezi ya mwanzoni tu mwaka huu pale jamaa moja lilipofanikiwa kubadilishwa jinsia na madaktari!
Lisemwalo lipo na kama halipo......
Dunia inaishia hii.
Hiyo ni muvi Mkuu.Kiru
Saa ndo kazaa unalia nini labda?!
UKISTAAJABU YA MUSA
YA FIRAUNI YATAKUSHINDA
JIONEE MWENYEWE
Imeniuma!Naomba uangalie video maswali yako yatajibika
UKISTAAJABU YA MUSA
YA FIRAUNI YATAKUSHINDA
JIONEE MWENYEWE
Bro ulaya wamesoma kuliko wewe
Njoo sasa ubishe na huku
UKISTAAJABU YA MUSA
YA FIRAUNI YATAKUSHINDA
JIONEE MWENYEWE
Eti kamtolea kwenye ile tamuu...inamesa mweziee kiruuuuAmemtolea wapi huyo mtoto?