Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

Aya ndo mwenzio kachanwa kama scissor na kapita
Yaan hata iweje, uum£ haupo elastic hivyo,, yaan kupikia hapo angechanika kabisa,

Naongea hv sabab nnao wakwangu sio elastic kias hiko...
Upo rigid. [emoji108] [emoji102]
 
Watu wengine wana moyo,kwa jinsi ninavyoogopa kuwa mwanamke halafu kuna mwanaume anafikia mpaka kutamani kuzaa,hapa kweli ndio utajua binadamu tuko tofauti sana.Yaani unaingia kabisa chumbani unaambiwa haya vua sasa nikuingize hiyo mimba,walahi tutachinjana...
mnavyotuingiza sisi mnaona rahae
 
Back
Top Bottom