Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mapenzi ndo yana_run dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekwisha chukuliwa na wadau hapo juu baada ya kufika dauNitaipataje hiyo chupi?
Mwengine huyuView attachment 2087330Ila siku hiv uhai umepungua thamani sana kwa baadhi ya watu yan kuua na kujiua imekuwa jambo la kawaida
Nchi huwa haipoi hata siku moja
Ukiua mtu kwa kumtuhumu kwa kosa fulani, hapo utakuwa umejichukulia sheria mikononi. Lakini ukiamua kuutoa uhai wako kwa hiari yako mwenyewe bila kushurutishwa na mtu sijui tutasemaje kuhusu hili.Tyson Kilasi (32), Mkazi wa Kijiji cha Mawindi Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwenye goli la kuchezea mpira wa miguu wa kijiji hicho huku pembeni akiwa ameacha nguo ya ndani ya kike.
Mwenyekiti wa kijiji cha Mawindi Kata ya Igima, Elias Mwinami amethitibitisha kutokea kwa kifo cha Kijana huyo na kusema kifo hicho kimetokea usiku wa kuamkia January 18,2022.
Mwinami amesema chanzo cha kifo cha Kijana huyo bado hakijafahamika ambapo eneo ambalo mwili wa Kijana huyo wameukuta ni eneo la goli la mpira wa miguu na wamekuta nguo ya ndani ya Mwanamke.
“Tumemkuta ananing’inia kwenye goli lakini chanzo bado hakijafahamika na kimsingi tunalaani kitendo hiki ifike mahali tuelimike na hivi karibuni tu Poliai walikuja kutoa elimu kwa kweli wananchi waache kujichukulia sheria mkononi"
Investigation sio suala la kukurupuka namna hiyo. Inaweza kuwa kweli amenyongwa au amejinyonga.Amanyongwa huyu kupoteza ushahidi.
Kwa hiyo?Investigation sio suala la kukurupuka namna hiyo. Inaweza kuwa kweli amenyongwa au amejinyonga.
Ile hainifai[emoji23]Mcheki Meena Ally
MDAU umezingua ujue
Tanzania Ngumu🤣 visa haviishi pole kwake!
Kawaida tuIla siku hiv uhai umepungua thamani sana kwa baadhi ya watu yan kuua na kujiua imekuwa jambo la kawaida