AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Unapata picha ganiHiyo siyo case, Mimi wananichosha 'baadhi' ya wanaume wa dar wakiwa wananyonya zile lambalamba za ukwaju..!! [emoji23]
INGEKUWA NI MAISHA YAKE PRIVACY ASINGETULETEA PUBLIC...mind your own business, waache wenyewe na maisha yao sidhani kama kuna kitu una gain kwenye hayo mambo yao, wewe fanya yako tu maisha ni mafupi kuanza kupangiana nn cha kufanya
1. Kuchat mapenzi na demu wake kwenye public platforms, na kuitana romantic words na kuchumiana...
2. Kukiss na demu wake yaani amelegea kabisa mbele za watu au anapiga picha anapost picha kabisa amelegeza macho, alafu mbaya zaidi huyo demu wake ndio kakaza kama mwanaume yaanu...
Mfano angalia picha ya Smart 911
KUNA MAMBO YA KUJISHEBEDUA NA KUWARINGISHIA WATU MAPENZI YAKO TUWAACHIE WANAWAKE...HAYA NDIO YAO MPAKA NA TAARABU WANAWEKEANA...
ILA WANAUME KAMFANYE UTAKAVYO MWANAMKE WAKO MKIWA FARAGHA...HUKU NJE JUST BE A GENTLEMAN...
Au wanajamvi mwaonaje...?
hii ni nchi huru, kila mtu yuko huru kufanya anachojisikia as long as havunji sheria, wewe ishi kwenye dunia yako achana na ya wengine, sasa kama ameeka public ukishaona unaachana nayo mambo madogo madogo ambayo hayakuongezei wala kukupunguzia kipato unayaignore tu kila kitu ukikichukulia serious utajiumiza mwenyewe learn how to ignore unnecessary thingsINGEKUWA NI MAISHA YAKE PRIVACY ASINGETULETEA PUBLIC...
KULETA PUBLIC AMETUHUSISHA MWENYEWE...
Ndio maana kwa wanaume...wanamke ni sehemu ya maisha kujishebedua...
Kumbe Madame unajua kuandika kizungu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]hii ni nchi huru, kila mtu yuko huru kufanya anachojisikia as long as havunji sheria, wewe ishi kwenye dunia yako achana na ya wengine, sasa kama ameeka public ukishaona unaachana nayo mambo madogo madogo ambayo hayakuongezei wala kukupunguzia kipato unayaignore tu kila kitu ukikichukulia serious utajiumiza mwenyewe learn how to ignore unnecessary things
Mambo?dooh!☺️
poaaMambo?