Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,558
Nae smart911 ananichekeshaga na comment zake mfano[emoji23]watu ni wajanja sana aisee
"tatizo watu ni wabishi sana" yaani huyu jamaa akili zake anazijua mwenyewe
Nae smart911 ananichekeshaga na comment zake mfano[emoji23]watu ni wajanja sana aisee
Miss you tookwanza nikutake radhi kwa kuchelewa kuona quote yako honey
pili nimekumiss sanaa,
Miss you too
Mkuu umenichekesha...Mm mwenyewe Nachukia Sana mwanaume kunyonya lambalamaba....Mm sizipendi labda nimnunulie mtotot au binti.Hiyo siyo case, Mimi wananichosha 'baadhi' ya wanaume wa dar wakiwa wananyonya zile lambalamba za ukwaju..!! [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah lolHiyo siyo case, Mimi wananichosha 'baadhi' ya wanaume wa dar wakiwa wananyonya zile lambalamba za ukwaju..!! [emoji23]
Haswaaaaaaah Madame umemalizaaaahmind your own business, waache wenyewe na maisha yao sidhani kama kuna kitu una gain kwenye hayo mambo yao, wewe fanya yako tu maisha ni mafupi kuanza kupangiana nn cha kufanya
Jomoneeeeeeh madame muambie huyo aeleweeeeeeehhii ni nchi huru, kila mtu yuko huru kufanya anachojisikia as long as havunji sheria, wewe ishi kwenye dunia yako achana na ya wengine, sasa kama ameeka public ukishaona unaachana nayo mambo madogo madogo ambayo hayakuongezei wala kukupunguzia kipato unayaignore tu kila kitu ukikichukulia serious utajiumiza mwenyewe learn how to ignore unnecessary things
Akna Cha Ajab Apo ni jinsi Mawazo yako 2 yanavokupeleka kuzimuHiyo siyo case, Mimi wananichosha 'baadhi' ya wanaume wa dar wakiwa wananyonya zile lambalamba za ukwaju..!! [emoji23]
Kwahyo mwana ukaona uweke picha yako halis jf..na jina halis....we ni hatar sana
Hyo picha ni ya desi banks..ni commedian marekani..,..watu wana ku attack wanahis ume mlenga mwana...au umemlenga kwel?1. Kuchat mapenzi na demu wake kwenye public platforms, na kuitana romantic words na kuchumiana...
2. Kukiss na demu wake yaani amelegea kabisa mbele za watu au anapiga picha anapost picha kabisa amelegeza macho, alafu mbaya zaidi huyo demu wake ndio kakaza kama mwanaume yaanu...
Mfano angalia picha ya Smart 911
KUNA MAMBO YA KUJISHEBEDUA NA KUWARINGISHIA WATU MAPENZI YAKO TUWAACHIE WANAWAKE...HAYA NDIO YAO MPAKA NA TAARABU WANAWEKEANA...
ILA WANAUME KAMFANYE UTAKAVYO MWANAMKE WAKO MKIWA FARAGHA...HUKU NJE JUST BE A GENTLEMAN...
Au wanajamvi mwaonaje...?
Jifunze kwanza kuandika ndipo uje kuni quote,Akna Cha Ajab Apo ni jinsi Mawazo yako 2 yanavokupeleka kuzimu
Afu mara ya mwisho kusoma kuandika Ni pale mwalim wangu wa kiswahili alipodedi kufa kufa darasa la Njiti mbili.Jifunze kwanza kuandika ndipo uje kuni quote,
Hiyo siyo case, Mimi wananichosha 'baadhi' ya wanaume wa dar wakiwa wananyonya zile lambalamba za ukwaju..!! 😂
Niliamua kua verified kutokana baadhi ya huduma nilizokua natoa jf hivyo nambari yangu ikawa inatambulika na watu wengi l.Kwahyo mwana ukaona uweke picha yako halis jf..na jina halis....we ni hatar sana
😂😂😂😂😂Hiyo siyo case, Mimi wananichosha 'baadhi' ya wanaume wa dar wakiwa wananyonya zile lambalamba za ukwaju..!! 😂
Hiyo siyo case, Mimi wananichosha 'baadhi' ya wanaume wa dar wakiwa wananyonya zile lambalamba za ukwaju..!! 😂
😂😂wewe ni sadist ,hupendi kuwaona wenzio wanafurahi,yani kitendo cha kupendana hujawah kukiona inaonekana umetoka familia yenye ugomvi kila siku