mbona ulipotea jukwaa pendwa!poaa
Jukwaa lipi hilo boss?mbona ulipotea jukwaa pendwa!
Hiyo siyo case, Mimi wananichosha 'baadhi' ya wanaume wa dar wakiwa wananyonya zile lambalamba za ukwaju..!! [emoji23]
MWANAUME ANAPOST KABISA NAMNA GANI ANAMPENDA MWANAMKE WAKE WITH ROMANTIC WORDS KBS
1. Kuchat mapenzi na demu wake kwenye public platforms, na kuitana romantic words na kuchumiana...
2. Kukiss na demu wake yaani amelegea kabisa mbele za watu au anapiga picha anapost picha kabisa amelegeza macho, alafu mbaya zaidi huyo demu wake ndio kakaza kama mwanaume yaanu...
Mfano angalia picha ya Smart 911
KUNA MAMBO YA KUJISHEBEDUA NA KUWARINGISHIA WATU MAPENZI YAKO TUWAACHIE WANAWAKE...HAYA NDIO YAO MPAKA NA TAARABU WANAWEKEANA...
ILA WANAUME KAMFANYE UTAKAVYO MWANAMKE WAKO MKIWA FARAGHA...HUKU NJE JUST BE A GENTLEMAN...
Au wanajamvi mwaonaje...?
😂😂😂😂 ni kwa msaada wa gugoKumbe Madame unajua kuandika kizungu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Na zilivyo tamu [emoji39] tena leo nimekula ile ya maziwa
Sema mkui umezunguka sana....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂 😂 😂 😂hahhaa[emoji1787] hana lolote huyo,lengo lake ni kumsema vibaya member mwenzetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaamua kutafuta njia ndefu kutema nyongo pasipo kushtukiwa....
Mnataka vizuri mle peke yenu sio?!!Hiyo siyo case, Mimi wananichosha 'baadhi' ya wanaume wa dar wakiwa wananyonya zile lambalamba za ukwaju..!! 😂