Mwanaume akifanya haya hadharani inaleta picha gani kwenye jamii?

Mwanaume akifanya haya hadharani inaleta picha gani kwenye jamii?

Mnataka vizuri mle peke yenu sio?!!

Sema ndo vile tena kuinyonya naona nachelewa, na mimi mambo ya kucheleweshana ndo sitaki kabisa kwahiyo nikipata ni full kumega mapande yakayeyukie huko huko, vinginevyo, ningelamba sana tu!
😂😂
 
Hahahah eti wivu...for what sasa..

Mimi nazungumzia uGENTLEMAN hapa...sisemei umbea hapa...
 
1. Kuchat mapenzi na demu wake kwenye public platforms, na kuitana romantic words na kuchumiana...

2. Kukiss na demu wake yaani amelegea kabisa mbele za watu au anapiga picha anapost picha kabisa amelegeza macho, alafu mbaya zaidi huyo demu wake ndio kakaza kama mwanaume yaanu...

Mfano angalia picha ya Smart 911


KUNA MAMBO YA KUJISHEBEDUA NA KUWARINGISHIA WATU MAPENZI YAKO TUWAACHIE WANAWAKE...HAYA NDIO YAO MPAKA NA TAARABU WANAWEKEANA...

ILA WANAUME KAMFANYE UTAKAVYO MWANAMKE WAKO MKIWA FARAGHA...HUKU NJE JUST BE A GENTLEMAN...

Au wanajamvi mwaonaje...?
Primitive mind at work
 
Back
Top Bottom