Mwanaume akifanya haya hadharani inaleta picha gani kwenye jamii?

sioni kosa mtu akimpost mwanamke wake sehemu kama whatsapp status au akiweka picha wako pamoja , tatizo watu wengi huwa wana wivu tu,social media zililetwa kwa kazi hiyo ku share moments with our loved ones ,mimi huwa nafurahi nikiona rafiki zangu wanawapost wanawake wao status kila siku
 

Pole sana... Inapendeza sana...

Mambo yetu yasikuumize kichwa tuachie wenyewe...



Cc: mahondaw
 
Pia mwanamme kupigwa kibao kwenye makalio ukajibu "oya mbaba unafeli" badala uanzishe vita ya 3 ya dunia pia sio uanamme..
 
Hiyo siyo case, Mimi wananichosha 'baadhi' ya wanaume wa dar wakiwa wananyonya zile lambalamba za ukwaju..!! πŸ˜‚
Mnataka vizuri mle peke yenu sio?!!

Sema ndo vile tena kuinyonya naona nachelewa, na mimi mambo ya kucheleweshana ndo sitaki kabisa kwahiyo nikipata ni full kumega mapande yakayeyukie huko huko, vinginevyo, ningelamba sana tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…