Mwanaume akifanya haya hadharani inaleta picha gani kwenye jamii?

Hiyo siyo case, Mimi wananichosha 'baadhi' ya wanaume wa dar wakiwa wananyonya zile lambalamba za ukwaju..!! [emoji23]
Mkuu umenichekesha...Mm mwenyewe Nachukia Sana mwanaume kunyonya lambalamaba....Mm sizipendi labda nimnunulie mtotot au binti.
 
Jomoneeeeeeh madame muambie huyo aeleweeeeeeeh
 
Hyo picha ni ya desi banks..ni commedian marekani..,..watu wana ku attack wanahis ume mlenga mwana...au umemlenga kwel?
 
sasa mtu kaamua kufanya kile anachoona champendeza yeye,wewe unateseka nini au ni wivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…