Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
😂😂Mnataka vizuri mle peke yenu sio?!!
Sema ndo vile tena kuinyonya naona nachelewa, na mimi mambo ya kucheleweshana ndo sitaki kabisa kwahiyo nikipata ni full kumega mapande yakayeyukie huko huko, vinginevyo, ningelamba sana tu!
Ni kweli kabisa!Wivu kidonda.
Sasa sio kila mtu ni gentlemanHahahah eti wivu...for what sasa..
Mimi nazungumzia uGENTLEMAN hapa...sisemei umbea hapa...
Primitive mind at work1. Kuchat mapenzi na demu wake kwenye public platforms, na kuitana romantic words na kuchumiana...
2. Kukiss na demu wake yaani amelegea kabisa mbele za watu au anapiga picha anapost picha kabisa amelegeza macho, alafu mbaya zaidi huyo demu wake ndio kakaza kama mwanaume yaanu...
Mfano angalia picha ya Smart 911
KUNA MAMBO YA KUJISHEBEDUA NA KUWARINGISHIA WATU MAPENZI YAKO TUWAACHIE WANAWAKE...HAYA NDIO YAO MPAKA NA TAARABU WANAWEKEANA...
ILA WANAUME KAMFANYE UTAKAVYO MWANAMKE WAKO MKIWA FARAGHA...HUKU NJE JUST BE A GENTLEMAN...
Au wanajamvi mwaonaje...?
Sio kila mtu analielewa neno gentleman Kama ulivyo elewa wewe. Sio kila kitu uchukulie negativeHahahah eti wivu...for what sasa..