Mwanaume akifika mshindo mmoja tu anatoa mbegu/manii takribani milion 350 zenye ujazo wa wastani wa 3.5ml.

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
611
Reaction score
993
Kwa mshindo mmoja tu mwanaume Anapoteza hizo mbegu za kiume kwa wastani wa wingi huo wa mbegu milioni 350M (3.5mls za ujazo)
Ambazo hizo ni pure proteins matofali ya kujengea na kukarabati mwili wake..

KUNA FAIDA KWA MWANAUME KATIKA KUPUNGUZA KUTOA MBEGU ZAKE ZA KIUME(NGUVU ZAKE) MARA KWA MARA.
Watu hasa walimu wa michezo ya sports nafikiri wanaelewa ,au wanasababu ya kuzuia wachezaji wa timu wanazozifundisha wanamichezo wasitoke kuzurura nje ya kambi .?

KUOTA NDOTO NYEVU NA KUTOA MBEGU ZA KIUME USIKU UKIWA UMELALA
Inatokana na AKILI INAYOWAZA NGONO muda mwingi ,kuacha kuwaza ngono muda mwingi na kuangalia au kusikiliza maudhui ya ngono itasaidia kupunguza kuota ndoto nyevu
KUWA BIZE au kufanya mazoezi pia kutasaidia kupunguza ndoto nyevu.

KUJICHUA
Ni matokeo ya kuwaza ngono muda mwingi moja ya sababu.

WANAUME HASA WAZEE KUNA FAIDA ZA KUACHA KUTUMIA VIAGRA KWA AJILI YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME BILA USHAURI WA DAKATARI WAKO.
Kuna faida kuacha kufanya ngono mara kwa mara(MOJA YA SIRI FAIDA ITAKAYOSAIDIA MWANAUME KUISHI MUDA MREFU na siha njema).
 
Attachments

  • images - 2025-01-10T070217.470.jpeg
    images - 2025-01-10T070217.470.jpeg
    25.3 KB · Views: 4
  • images - 2025-01-10T070002.706.jpeg
    images - 2025-01-10T070002.706.jpeg
    21.8 KB · Views: 7
  • images - 2025-01-10T070609.222_1.jpeg
    images - 2025-01-10T070609.222_1.jpeg
    67.4 KB · Views: 2
Ulichoandika hapa kinadhihirisha kuwa hata na wewe saa hizi usiku unawaza ngono, ndomaana umefikiria kuandika uzi huu saa hizi.

Au nadanganya mkuu?
 
Hakieleweki ulichokiandika. Ulikuwa na usingizi? Au ulipiga nyeto kabla ya kuandika. Yaani ubongo ulikuwa umechoka.
 
Nilichoandika ni elimu wanayofundishwa wanaume huko duniani kuwa,kufanya ngono mara kwa mara kwa mwanaume kuna hasara na kunachakaza mwili,ni siri ya kuishi muda mrefu na kutunza afya kwa mwanaume.Ila hii elimu kiafrika sijui kama itakubalika mana wabongo ngono ni kipaumbele.

2.)Wengine wanasingizia wasipofanya ngono wanapata ndoto nyevu..ndio nikasema ndoto nyevu ni matokeo ya kuwaza ngono usipowaza ngono ni aghalabu kuota unazini ndotoni.kadhalika wanaojichua ni matokeo ya kuwaza ngono tu.
 
Kwa mshindo mmoja tu mwanaume Anapoteza hizo mbegu za kiume kwa wastani wa wingi huo wa mbegu milioni 350M (3.5mls za ujazo)
Ambazo hizo ni pure proteins matofali ya kujengea na kukarabati mwili wake..

KUNA FAIDA KWA MWANAUME KATIKA KUPUNGUZA KUTOA MBEGU ZAKE ZA KIUME(NGUVU ZAKE) MARA KWA MARA.
Watu hasa walimu wa michezo ya sports nafikiri wanaelewa ,au wanasababu ya kuzuia wachezaji wa timu wanazozifundisha wanamichezo wasitoke kuzurura nje ya kambi .?

KUOTA NDOTO NYEVU NA KUTOA MBEGU ZA KIUME USIKU UKIWA UMELALA
Inatokana na AKILI INAYOWAZA NGONO muda mwingi ,kuacha kuwaza ngono muda mwingi na kuangalia au kusikiliza maudhui ya ngono itasaidia kupunguza kuota ndoto nyevu
KUWA BIZE au kufanya mazoezi pia kutasaidia kupunguza ndoto nyevu.

KUJICHUA
Ni matokeo ya kuwaza ngono muda mwingi moja ya sababu.

WANAUME HASA WAZEE KUNA FAIDA ZA KUACHA KUTUMIA VIAGRA KWA AJILI YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME BILA USHAURI WA DAKATARI WAKO.
Kuna faida kuacha kufanya ngono mara kwa mara(MOJA YA SIRI FAIDA ITAKAYOSAIDIA MWANAUME KUISHI MUDA MREFU na siha njema).
IMG-20250110-WA0018.jpg
 
Jukwaa letu linawafikia jinsia zote, umezungimzia 'hasara' kwa wanaume wanaotoa, je 'hasara' gani wanayoipata wanawake wanaopokea hayo mamillioni?
 
Ukiacha kuwaza waza ngono mara kwa mara ata afya ya akili inaimarika.so faida ni nyingi.
 
Jukwaa letu linawafikia jinsia zote, umezungimzia 'hasara' kwa wanaume wanaotoa, je 'hasara' gani wanayoipata wanawake wanaopokea hayo mamillioni?
Faida ya mbegu za kiume kwa wanawake ukiachilia mbali faida kuu ya UZAZI FERTILITY zipo
ila nyingi bado ziko kwenye tafiti nikizitaja hapa zinaweza kuzua taharuki,ila unaweza ukazi search AI chatGPT etc..
 
Sihitaji kujua 'faida', nahitaji kujua 'hasara'.

Tukiongelea 'faida', moja kwa moja wanawake itawabeba.
 
Hasara ukiacha MAAMBUKIZI ya magonjwa infections hasa kama mwanaume atakuwa na maambukizi,

hayo maprotein yanaweza yaka stimulate immune reactions kwa lugha rahisi ALEJI kwa baadhi ya wanawake .
 
Kwa mshindo mmoja tu mwanaume Anapoteza hizo mbegu za kiume kwa wastani wa wingi huo wa mbegu milioni 350M (3.5mls za ujazo)
Ambazo hizo ni pure proteins matofali ya kujengea na kukarabati mwili wake..

KUNA FAIDA KWA MWANAUME KATIKA KUPUNGUZA KUTOA MBEGU ZAKE ZA KIUME(NGUVU ZAKE) MARA KWA MARA.
Watu hasa walimu wa michezo ya sports nafikiri wanaelewa ,au wanasababu ya kuzuia wachezaji wa timu wanazozifundisha wanamichezo wasitoke kuzurura nje ya kambi .?

KUOTA NDOTO NYEVU NA KUTOA MBEGU ZA KIUME USIKU UKIWA UMELALA
Inatokana na AKILI INAYOWAZA NGONO muda mwingi ,kuacha kuwaza ngono muda mwingi na kuangalia au kusikiliza maudhui ya ngono itasaidia kupunguza kuota ndoto nyevu
KUWA BIZE au kufanya mazoezi pia kutasaidia kupunguza ndoto nyevu.

KUJICHUA
Ni matokeo ya kuwaza ngono muda mwingi moja ya sababu.

WANAUME HASA WAZEE KUNA FAIDA ZA KUACHA KUTUMIA VIAGRA KWA AJILI YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME BILA USHAURI WA DAKATARI WAKO.
Kuna faida kuacha kufanya ngono mara kwa mara(MOJA YA SIRI FAIDA ITAKAYOSAIDIA MWANAUME KUISHI MUDA MREFU na siha njema).
Hii ipo wazi. Mf. Walinzi wa wafalme miaka hiyo walikuwa wanahasiwa ili wasipige wake wao. Walinzi hao walikuwa na afya njema.

Mf mwingine, tazama wale ng'ombe maksai wana afya njema kwa sababu hawafanyi
 
Back
Top Bottom