Mwanaume akifika mshindo mmoja tu anatoa mbegu/manii takribani milion 350 zenye ujazo wa wastani wa 3.5ml.

Mwanaume akifika mshindo mmoja tu anatoa mbegu/manii takribani milion 350 zenye ujazo wa wastani wa 3.5ml.

Nafikiri kuna baadhi madume ya wanyama,ndege na wadudu(Animalia kingdom) huwa ama wanaishiwa kupoteza nguvu/kuchoka sana exhausted au kuzimia hata wanaweza wakakufa kabisa mara tu baada ya mshindo mmoja(kama kumbukumbu ni nzuri mfano mmoja wapo ni baadhi ya insecta kama nyuki i think.
 
Naanza kufikiri kiroho kiimani,nikifikiria uumbaji wa Mungu inawezekana Mungu kuumba mwanamke awe anapitia ile desturi ya mwanamke ya 1)zile siku 14 za kutengwa kwake mwanamke akiwa hedhi.

2)na Yesu kusema kila mwanaume awe na mwanamke mmoja.

3)1+2=3 hivyo hizo ni siku za lazima za kupumzika tendo la ndoa kwa ustawi wako(NA HYPOTHESIZE TU ?)
Kwa sababu naamini NENO LA MUNGU ,lina majibu yote ya maswali yetu,sisi tumeumbwa tukaletwa hapa duniani LIFE MANUAL muongozo sasa wa sisi ,how we are programmed how toa act ..life guide ya kutu guide how to live ni NENO LA MUNGU(BIBLIA)

Naanza kufikiria MUNGU ANATUWAZIA MEMA ,Sheria za Mungu ni kwa faida yetu wenyewe.Sheria za Mungu ni nzuri sana.
 
Back
Top Bottom