Mwanaume akikataa mimba au kukutelekezea mtoto, usitumie majina yake Kwa mtoto wako

Siyo point hata,kwan lazima arithi?
Mpatie mtoto hata surname ya mzungu,siyo mbaya!![emoji4] mtoto akikuwa una mwambia Baba yake Yuko ulaya.Mbona majina Yako mengi. Kina Wayne,Clinton,Blatter,Plato, Biden [emoji2]
 
Hujui maumivu ya kukataliwa na kususiwa majukumu
@Noelia kasema kuitwa Mama siyo kubeba mimba tu.Hata kukataliwa,kutukanwa,kukimbiwa,kunyanyasika na kususiwa hayo pia ni majukumu ya Mama.
 
Stupid,stop putting blames on one side. Do you the think the act was done by one human???
Wewe ndo stupid mwenyewe sasa. Unafungua miguu mtu aingie na unajua kabisa upo kwenye "HEAT" halafu unataka usilaumiwe?!

Mabinti mmekuwa Kama mapepo hivi saaa
 
Stupid,stop putting blames on one side. Do you the think the act was done by one human???

kubeba mimba kwa mwanamke ni kutaka, hakuna mimba ya bahati mbaya. tungekua tunazungumzia wsichana wa 21-15 hiyo ingekua ni mada nyengine, lakini sio kwa hawa waliopevuka.
 
Kheee we kijana
 
Dah mkuu hii comment yako ni ya 2022 lakini hiki kitu kimenitokea mimi mwaka huu 2024 hakika mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana ana block namba zote hataki mawasiliano hapo mtu unatoaje huduma na hataki ata ukue yuko wapi na mtoto aseeee inabidi mtu ukae kimya japo unaumia na mtoto anateseka kwasababu ya tabia za mama yake kujifanya anaweza mambo yote
 
Duh, 2024? Mbona umepigwa goli la mapema sana mkuu!!
 
Ni changamoto sana
Pole sana.
Madam umezaa naye hapo ameshapata fimbo ya kukuchapia. Atakuwa anakuumiza kupitia mtoto kupitia aina ya malezi. Na hivi wanavyojua kulea kwa kuigana bila ya kuzingatia misingi ya malezi...I real feel sorry kwa mtoto na kwako.
Mwanamke ni mtu anayetamani kuzaa sababu tu kaona mwenzake ame post mtoto au amebeba mtoto, au akatamani kuzaa sababu kaona mwenzake kabeba mbwa
 
Mpe mtoto haki yake.
Huyo unaemuandika ndie baba yake??
Sasa kama baba kakimbia nyumba ndio anapoteza hata watoto aliobaiojoiana na mkewe.

Ni haki ya mtoto kumjua baba yake, awe katili, mvivu, mlevi huyo ndio baba yake na hatopata baba mwingine duniani zaidi ya huyo.

Mwisho wa siku baba akijipata, au akakubali kulea mtoto, mtoto atapagawa mbona majina yangu si ya baba yangu, na hili pia litachangia baba kusepa au kukataa mtoto mazima maana hata jina sio lake anawajibikaje.

Kwenye uzi wako hujataja ni kwa muda gani baba akikimbia au kukataa mtoto basi agawiwe mwanaume mwingine.
Je ni mwaka, mwezi au on the spot pale anapokataa.??

Nadhani bandiko hili umetumia hisia zaidi na sio akili.
Umeumizwa na kina baba wa namna hiyo ukawaanzishia thread.
 
Wanawake msiwafundishe watoto wenu kuwachukia Baba zao, nyie waleeni Kwa maadili ya kimila na Kidini, tumieni majina mtakayopenda ninyi, watoto wanavyokua wanajionea na kujua ni zipi sababu za nyie mama zao kufanya mlio ya fanya.
Taikoni umekuwaje siku hizi mkuu??

Yaani usimfundishe mtoto kumchukia baba yake na wakati huohuo cheti chake kina jina la mjomba??

Kama mama kashaanza kuonesha chuki kwa kubadili jina mtoto lazima afate tu..

Na kumbuka kuna muda Me hukataaimba kwasababu za ukata, mambo yakiwanyookea huja kumgomboa mtoto au huonagi hilo la mtoto kugombolewa na familia ya kiumeni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…