Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababìsha uwezekano mkubwa wa kuachana

"Mwanaume anatakiwa kuongozwa na akili siyo hisia za mapenzi."
MWISHO WA KUNUKUU
 
Dah, 1. Uzi huu umeukopi hapa hapa jf na umeu-paste kama ulivyo. Shame on you

Anyway, hakuna mtu anayestahili kupenda zaidi kuliko mwenzake, inshort ili mkae muda mrefu kwenye mahusiano msipendane.

Mwanamke akimpenda sana mwanaume, mwanaume anakuwa ana mpuuzia na kumuona msumbufu vivyo hivyo kwa mwanaume akimpenda sana mwanamke, mwanamke huyo atamuona kama msumbufu.

"People they don't want to be loved"
 
Umeambiwa umpende Mungu pekee kwa moyo wote, ina maana sana.

Kisha ukimaliza, ujipende wewe, kisha watoto na mke wako na wengine kama unavyojipenda.

Ukimpenda mkeo zaidi ya unavyojipenda unampa nafasi ya mungu mtu wako, lazima akutawale, lazima akukalia kichwani. Na mimi nasema na AKUTAWALE TU
 
True maana utukufu wa Mungu hapaswi mwanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…