Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Hii nafasi naona sina mpinzani kabisa, Mr. Ip_kiss. Mtu makini, napiga kimwili na kiroho.
Walamba lips na wanyonya pipi kaeni mbali, nipo ninja nitawapiga vidole πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜ƒ
 
🀣🀣🀣🀣Hao wanajikuta ma independent woman..ngoja siku wakijua hela unayopewa na mpenzi wako ilivyotamu,imetoka kwenye wallet,kwanza Hadi inanukia kiharufu kizuriiiiii sio Kama ya vikoba inanukia maandazi
Imagine unaambiwa baby hebu chukua hii ya mahitaji yako πŸ˜€πŸ˜€famasihara nini
 
Hujakutana na kina sisi watu wenye siksi paki orijino.. Toka huko vitambini utapoteaaaaaa
 
Du
Mwanaume unayemtaka sidhani kama ana exist dunia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…