Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Kwenye maisha kuna baadhi ya vigezo tunavitaka ila sio vya msingi ndo maana ndoa hazidumu,single maza wanaongezeka kila siku. Linapokuja suala la maisha baadhi ya vitu havina umuhimu kwenye kujenga familia
Ok unamtaka wa hivyo alafu yeye hakupendi au yeye ajali kuhusu mambo ya familia maana yake utaishi maisha ya shida sana.
Unataka tako alafu tako lenyewe haliwezi hata kukufulia nguo,utajuta maisha yako yote.
Husband material+wife material is what matters
Hebu kunywa juice mahala unipe bili…..

Kuna vitu havijengi familia, akili kumkichwa, acha yaendelee kuwakuta, hadi siku watakapoweza kuwaspot Wife/husband materials
 
7348EEDC-2AAC-40EA-A0B9-E39DD1CDF34B.jpeg
 
Ukiona mtu yuko na poligoni sio kwamba amependa, bali anakula kwa urefu wa kamba yake
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hajapependa vile ila ni kipato ndo shida ety...
Sema sio mbaya mkuu mi nina kitambaa hapa sijui nani atabadilisha niwazacho
 
Sura ngumu inaashiria atakupeleka moto, sura laini inaashiria atakuwa na huruma wakati anakukaza na pumzi hawana
Ewaaa .
Sio, Mwanume umevaa na viatu mnakutana na mbwa afiki hata magotini, unakimbia unamuacha manzi ako πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Back
Top Bottom