monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!Wakati huo mwanaume anakuja na mazaga zaga yote hayo uliyotaja
Wewe una nini na nini cha ku-offer?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana!Wakati huo mwanaume anakuja na mazaga zaga yote hayo uliyotaja
Wewe una nini na nini cha ku-offer?
mwanamke ni mtoto katika hali ya utu uzima.. ona sasa mtoa madaAnza na yako mwaya.....
Amemsahau wa 31 na awe na helaHao ni watu 30 tofauti,
All the best dear
Ndioo yaani hapa nabaki nacheke tuu
Ukute ni kipande cha nguo ya huyo binti hapo,😋😋😋
Only your body?
MaybeOnly your body?
Wewe kweli pimbiii 😂😂😂Wenzetu kule wanavaa nguo mara moja na kufungasha kwenye makontena, na kuja huku kwetu kama mitumba.
Kwa hiyo unaipigia nyeto, ukihisi uko naye ?😀 😀
🤣🤣🤣🤣Hao wanajikuta ma independent woman..ngoja siku wakijua hela unayopewa na mpenzi wako ilivyotamu,imetoka kwenye wallet,kwanza Hadi inanukia kiharufu kizuriiiiii sio Kama ya vikoba inanukia maandaziMy wangu 😀😀😀mi nimeishia hapo aliposema si kila mwanamke anapenda hela
Abeescolastika nakuita...
Wakati huo mwanaume anakuja na mazaga zaga yote hayo uliyotaja
Wewe una nini na nini cha ku-offer?
Kuna smell hapa najaribu kuivutia ila wapi... Daaah aiseeee 😂😂😂😋😋😋Wenzetu kule wanavaa nguo mara moja na kufungasha kwenye makontena, na kuja huku kwetu kama mitumba.
Kwa hiyo unaipigia nyeto, ukihisi uko naye ?😀 😀
Mambo na za siku...Abee
Vipi anauza chipi za wanawake?Awe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami.
Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na awe anajiamini. Napenda mwanaume ambaye muda mwingi in public yupo serious. Ila aliwa nami room au home tutaniane na tucheze.
But pia ani treat mimi kama mtoto na pia aniheshimu na kunipenda. Awe muwazi... Mkweli asifiche hisia zake kwangu. Apende watoto na awe msikivu. Asiwe na mwili wa uzembe. Afanye zoezi kidogo atanuke juu akinikumbatia ni feel. Awe msafi asinuke jasho wala kikwapa.
Ajipende na apendeze na kakitambi kidogo ka kuvalia suruali ya kitambaa na shati. Apige mavazi tofauti tofauti. Hapo sasa nitakuwa natamani tu nimwangalie akiwa anafungua mkanda anataka kupanda kitandani tufanye mapenzi. Huwa napenda hicho kipengele... Avue namwangalia.... Kisha arukie kitandani na kuanza nikiss kila sehemu.
Tuvulana twa siku hizi hatuna hizi sifa... Tunakaa kujisifia tu ujinga na tunafikiri wanawake wote wanashida na pesa... Tunalamba lamba tu lips. Mimi mwanaume miaka ya nyuma nilikuwa nampima pia kwenye ulaji wake. Kama anakula kamsosi kama ka mtoto au msichana hata sitotaka kutoka naye out tena. Mi nakula... Na mazoezi nafanya sina kitambi. Chakula kinaenda maeneo yake stahili.
Namtafutia mdogo wangu mwanaume wa maana mwenye sifa hizo. Mi nimeshapata wangu. Umbo lake naye ni namba 8 ya ukweli si ya michongo. Graduate anafanya biashara ana duka la nguo na viatu.
Ikiwezekana anatakiwa hicho kitambaa akishonee chup na soksi; ili kila anapotembea ahisi yuko naye; ni sawa na wapare kula ugali kwa picha ya samaki 😀 😀Wewe kweli pimbiii 😂😂😂
Ahhahaha kujitesa uko sasaIkiwezekana anatakiwa hicho kitambaa akishonee chup na soksi; ili kila anapotembea ahisi yuko naye; ni sawa na wapare kula ugali kwa picha ya samaki 😀 😀
nachukulia powa huyuWewe kweli pimbiii 😂😂😂
Mwili wa mozezi ninao tena nipo fit balaaa nakimbia 3.2km ndani ya dakika 12Unaitwa huku mzabzab si una mwili wa mazoezi na kakitambi wewe