Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

Mambo zenu naiman mko Poa naombeni mnambie mwanaume akimpenda mwanamke anamtreat vipi Yan nataka kujua mwanaume akiwa in love na mwanamke anakuaje tabia zake ??
Mwanaume anaekupenda kwa dhati siku zote anakuwa haeleweki.. ukiona umemuelewa mwanaume wako jua hayo mahusiano yenu yatavunjika muda si mrefu
 
Maana Kuna mkaka annaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu anamwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kw sabbau anamahusiano yake Sasa najiuliza uyo ananipendaje kw mfano kama sio tamaa?? Kw Sasa mwanamke wake amesafir yeye ananiambia eti nisichzee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu mana moyo Wangu unasita kumkubali
Yote hayo ubatili mtupu,njoo kwangu yaishe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila iyo kaka ameanz akunifatilia miaka miwili Mpk Sasa ajakata tamaa Yan anawapenz wake lakn Bado akili yake inaniwaza Mimi nashindwa kuelewa nahisi ni tamaa TU ingawa yeye anasema eti ananipenda
Miaka hiyo kashidwa,itakua ana sound za kizamani,tumkomoe njoo nikuoe
 
Kila mmoja anaestaili yake mimi ya kwangu nikimpenda demu sana sitaki ajue kama nampenda nikianza kumpa salam sahivi kesho au baadae ni zamu yake kuanza kunitafuta yeye akinikaushia tutamaliza wiki hatutafutani, anaweza kufikiri simpendi kumbe nampenda kinoma ila suala la kuwa mtumwa ndo sitaki
 
Back
Top Bottom