malikia balqiis
Senior Member
- Apr 28, 2023
- 118
- 189
- Thread starter
- #21
Ahaaa kumbe Kwaio Kuna wanaume weñgine awapendi kujionesha mapenzi yaoKila mmoja anaestaili yake mimi ya kwangu nikimpenda demu sana sitaki ajue kama nampenda nikianza kumpa salam sahivi kesho au baadae ni zamu yake kuanza kunitafuta yeye akinikaushia tutamaliza wiki hatutafutani, anaweza kufikiri simpendi kumbe nampenda kinoma ila suala la kuwa mtumwa ndo sitaki