malikia balqiis
Senior Member
- Apr 28, 2023
- 118
- 189
- Thread starter
- #61
Heee kumbeee mwanagaloka ingawa sijui kisukuma usinicheke nimekalili mwanagaloka tuNa mie msukuma jamani.. tupo kabila moja kabisaa [emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee kumbeee mwanagaloka ingawa sijui kisukuma usinicheke nimekalili mwanagaloka tuNa mie msukuma jamani.. tupo kabila moja kabisaa [emoji4]
kuhusu kikabila wakwe zako watakufundishaa.. 😊😊 usijaliHeee kumbeee mwanagaloka ingawa sijui kisukuma usinicheke nimekalili mwanagaloka tu
Daaaaaaaaah🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆🙆Na mie msukuma jamani.. tupo kabila moja kabisaa 😊
Sijui nikuharibie😆😆😆😆kuhusu kikabila wakwe zako watakufundishaa.. 😊😊 usijali
Ooh kumbe, ñjoo p mara moja nikufinye skioMaana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.
Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
vipi mpendwaa 😊😊😊Daaaaaaaaah🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆🙆
Wasukuma bhana.....🤦Kabisa Yan Niko peace sana msukuma mie
Jamani penzi jipyaa kabisaa na ndio napambania wataka nifukuzia njiwa wangu na nyie humu hamututaki 🫤🫤🫤Sijui nikuharibie😆😆😆😆
Eti eh ndo mana moyo wangu unagoma kumkubali mana tabiazake sizielew mana tayari anamahusiano yakeHuyo hakufai, niamini mimi... Kuna mwamba mmoja alimfukuzia dada angu (family friend), tokea 2015 mpaka 2020 (wakati wa korona).
Alipopata utalezi huwezi amini mpaka leo huyo dada anajilaumu kuigawa bikra yake kizembe
Nashangaa ghafla ungekuwa msukuma jamani?vipi mpendwaa 😊😊😊
Mie mbona mtu ya chato toka zamani sanaa.. hujui kumbeee 😳😳Nashangaa ghafla ungekuwa msukuma jamani?
Tatizo waongowaongo.Jamani penzi jipyaa kabisaa na ndio napambania wataka nifukuzia njiwa wangu na nyie humu hamututaki 🫤🫤🫤
huyo achana nae malikia balqiis .. mie nitakuwa kwa ajiri yako 😊😊Eti eh ndo mana moyo wangu unagoma kumkubali mana tabiazake sizielew mana tayari anamahusiano yake
hatuna uwongo, nyie tu hampo serious na mnapenda kuongopewa hata mnapo ambiwa ukweliTatizo waongowaongo.
yeah baadhi tukipenda hatutaki kuonyesha mapenzi maana demu akijua unampenda sana anaanza kuleta mapicha picha kwahiyo nakupenda ila haifikii nijitoe thamani hadi niwe mtumwa nikikutafuta inabdi unitafute pia ila nikiona Mimi ndo nimekutafuta mara mbili we hujanitafuta hata mara moja naweka mikausho mikali.Ahaaa kumbe Kwaio Kuna wanaume weñgine awapendi kujionesha mapenzi yao