Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

Mwanaume anaweza kukupa heshima na pesa Ila akawa hajakupenda....Sisi tunaweza mpk kukuzalisha ila tusikupendee...kiufupi ukimpata bwana we ishi nae tu...
 
Maana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.

Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
Akili zenu mnazijua wenyewe, aisee[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwaiyo huoni logical error kwenye mawazo yako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio mana moto Wangu umegoma.kukubali aisee
Hujagoma bali umestuck, tafsiri ya kugoma sio hiyo. Sasa mtu anataka afanye cheating kupitia wewe na ukarifikiria. Sijui ila wadada mnaakili zenu, nimeona wengi lakini[emoji23][emoji23][emoji23] mpo hivyohivyo.
 
Maana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.

Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
Hahahaha kweli kazi mnayo,hivi hizo akili mnazifungiaga kwenye makabati?

Yaani wewe unamuona kabisa mwenzio ameshanyolewa ila unahaha kutafuta pakutia na wewe nywele zako maji uende ukanyolewe?nikusema yupo mwanamke mwenzako amezalishwa na huyu bwana then anakushawishi na wewe akuzalishe (probably ndiyo kitakachotokea) but still unataka uambiwe kama umkubali au umkatae?

Nilitegemea nione ukiomba ushauri namna ya kwenda kuokoa mahusiano ya mwanamke mwenzako.
 
Nauwezi amini ndivyo wanavyofikiriaga sasa najiuliza hivi wanawake wameumbwaje, yaani they see danger but choose to ignore ili tu walifikie jambo fulani ambalo akifika anakuwa kashaumizwa na kupopolewa vya kutosha.
 
Mambo zenu, naimani mko poa! Naombeni mnambie mwanaume akimpenda mwanamke anamtreat vipi yaani nataka kujua mwanaume akiwa in love na mwanamke anakuaje tabia zake??
Nitafute tuyajenge hautojuta.
 
Hahahaha kweli kazi mnayo,hivi hizo akili mnazifungiaga kwenye makabati?

Yaani wewe unamuona kabisa mwenzio ameshanyolewa ila unahaha kutafuta pakutia na wewe nywele zako maji uende ukanyolewe?nikusema yupo mwanamke mwenzako amezalishwa na huyu bwana then anakushawishi na wewe akuzalishe (probably ndiyo kitakachotokea) but still unataka uambiwe kama umkubali au umkatae?

Nilitegemea nione ukiomba ushauri namna ya kwenda kuokoa mahusiano ya mwanamke mwenzako.
Kw taarifa Yako mi sijamkubali nongekua nania ya kuvunja mahusiano Yao ningemkubali mkaka miwili nyuma uoni miaka yote ito ananisumbua namkataa Sasa nongekua nania ya kuharibu mahusiano Yao SI ningayaharibu TU usiazan Kila MTU anapenda kuharibu mahusiano ya watu
 
Soma vzr marlezo yangu umekurupuka kulaumu mi sijamkubali uyo MTU ningekua nimemkubali nisingeleta hii mada Apa acha makasiriko ndugu
 
Basi hapo kwenye nafsi unajiona mzuri kuliko mkewe hata km ni sogea tukae ila ni mkewe😂😂
 
Kw taarifa Yako mi sijamkubali nongekua nania ya kuvunja mahusiano Yao ningemkubali mkaka miwili nyuma uoni miaka yote ito ananisumbua namkataa Sasa nongekua nania ya kuharibu mahusiano Yao SI ningayaharibu TU usiazan Kila MTU anapenda kuharibu mahusiano ya watu
Soma vzr marlezo yangu umekurupuka kulaumu mi sijamkubali uyo MTU ningekua nimemkubali nisingeleta hii mada Apa acha makasiriko ndugu
Tatizo lako ume-panic.

Shida ipo hapa kwanini kuendelea kusikiliza ngonjera zake hali ya kuwa unajua ana mahusiano na mwanamke mwenzako tena wana mtoto na ndoa hawajafunga?

Je!lipi dhumuni lako kuendelea kumsikiliza,unategemea atakupa nini cha ziada?sisi wanaume tukishaona mwanamke ana bwana kisha akakubali turuke nae huyo kwetu tunamuona kama choo cha stand tunatumia tunaacha sasa ktk kesi yako hii huyo bwana unaendelea kumsikiliza unadhani utakapomkubali atakupa ndoa?je ana wangapi amewadanganya kama wewe na baby mama wake?amsha akili hiyo!
 
Back
Top Bottom