Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

Mtu anaishi na sogea tukae, haujawahi ona wamegombana na bado anakutaka wewe... Hapo dada jiandae kwa haya matatu
~kuliwa harafu uachwe
~kuvuruga nyumba ya watu uishie kurogwa, na
~kuchukua jimbo harafu ujiandae kufanyiwa ulivyomfanyia sogea tukae wake
Mimi Bado sijamkubali moyo wangu hautaki kumkubali yeye ndo Bado ananibembeleza ila moyo wangu umekua mgumu kabisa ni miaka miwili Sasa ajachoka kuniapproach
 
Utofautishe upendo na uteja wa mapenzi hivi vinataka kufanana kimoja udumu
 
Maana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.

Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
Jaribu uone Utakavyopigwa na kitu kizito.
 
Mimi Bado sijamkubali moyo wangu hautaki kumkubali yeye ndo Bado ananibembeleza ila moyo wangu umekua mgumu kabisa ni miaka miwili Sasa ajachoka kuniapproach
Huyo hakufai, niamini mimi... Kuna mwamba mmoja alimfukuzia dada angu (family friend), tokea 2015 mpaka 2020 (wakati wa korona).
Alipopata utalezi huwezi amini mpaka leo huyo dada anajilaumu kuigawa bikra yake kizembe
 
Mambo zenu, naimani mko poa! Naombeni mnambie mwanaume akimpenda mwanamke anamtreat vipi yaani nataka kujua mwanaume akiwa in love na mwanamke anakuaje tabia zake??
The real meaning ya "Sky is the limit" ndio utaiona hapo.

We will move the mountains, kumfanya awe comfortable.
 
Back
Top Bottom