😳😳😳Watu wabaya haya mnayajua alafu hamtaki kutoa ushirikiano na polici hadi wanakuja kutoa taarifa ya utopoloUmesahau pia, mke wa masanja na mtajwa mama huyo walienda kwa katibu kupiga threesome. Inasemekana ilikua kawaida yao
Kufahamika kubaya jamani!Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa taarifa kwa mumewe kunaashiria vingi sana lakini kikubwa ni kwamba hii ni statement ya uongo.
Ni ngumu sana katibu wa kanisa kumtumia meseji za mapenzi Mama Mchungaji, kisha Mama Mchungaji eti ajifunge kibwebwe kwenda kumkanya katibu. Polisi wanaweza kujua mahusiano yalikuwepo au kutokuwepo kwa kupitia SMS tu? Halafu mke mwenyewe ni wa mchungaji wako na wewe ni katibu wa kanisa hilo, mke wa mchungaji akufate na mwanamke mwingine kuja kukwambia usimtumie meseji za mapenzi?
Mama mchungaji aache kumwambia mumewe ili akuondoe kuwa karibu naye? Mke ameenda kwa jamaa na baadaye jamaa amekufa na tayari wame-rule out kajinyonga. What if kama walimmaliza ndio wakaamua kufunika kwa kutumia simu yake kufanya hayo mawasiliano?
Polisi wadili na mauaji tuu, hayo ya mapenzi wayaweke kando kwanza.
PUBLIC CAN NOT BUY THIS CHEAP EXPLANATIONS.
View attachment 2377177
Nami nilitaka niseme,mbona komwe kama langu TU🙄Mbona hata dem mwenyewe sio mkali
Hapa hatunzungumzii ukali au uzuri je utamu hakuwa nao?Mbona hata dem mwenyewe sio mkali
Demu mkali yule wewe hakuna demu ambae sio mkali emu acha habari zako za fungu la kukosa.. sio mkali sio wako ila angekua wako ungemuona mkali au?Mbona hata dem mwenyewe sio mkali
😅😅😅Mkuu acha makasiliko yeye kaona hivoDemu mkali yule wewe hakuna demu ambae sio mkali emu acha habari zako za fungu la kukosa.. sio mkali sio wako ila angekua wako ungemuona mkali au?
Emu acha kua hivyo mkuu kwenye ukweli sema ukweli
Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa taarifa kwa mumewe kunaashiria vingi sana lakini kikubwa ni kwamba hii ni statement ya uongo.
Ni ngumu sana katibu wa kanisa kumtumia meseji za mapenzi Mama Mchungaji, kisha Mama Mchungaji eti ajifunge kibwebwe kwenda kumkanya katibu. Polisi wanaweza kujua mahusiano yalikuwepo au kutokuwepo kwa kupitia SMS tu? Halafu mke mwenyewe ni wa mchungaji wako na wewe ni katibu wa kanisa hilo, mke wa mchungaji akufate na mwanamke mwingine kuja kukwambia usimtumie meseji za mapenzi?
Mama mchungaji aache kumwambia mumewe ili akuondoe kuwa karibu naye? Mke ameenda kwa jamaa na baadaye jamaa amekufa na tayari wame-rule out kajinyonga. What if kama walimmaliza ndio wakaamua kufunika kwa kutumia simu yake kufanya hayo mawasiliano?
Polisi wadili na mauaji tuu, hayo ya mapenzi wayaweke kando kwanza.
PUBLIC CAN NOT BUY THIS CHEAP EXPLANATIONS.
View attachment 2377177
Eeeh mbona wanemuwahi hivyo wakati bado uchunguziTaarifa ya polisi imezidisha mkanganyiko badala ya kuondoa sintofahamu... Kuna mengi nyuma ya pazia na naambiwa marehemu keshazikwa.. SO FAST!?
Masanja kashatembeza mpunga labdaPolice wa tz wana maigizo
Mme msanii, ndoa ya kisanii, kanisa la kisanii, Kila kitu usanii usanii tu, kesi nayo inaenda kisanii.
Ana sura ya kukomaaMbona hata dem mwenyewe sio mkali
Wewe wasema, mwenzako kaamua hadi kujitoa uhai.Mbona hata dem mwenyewe sio mkali