Mwanaume akutongoze, kisha umfuate kwake kumkanya, kweli ulisikia wapi?

Only in Tanzania yani unamkataa then unaenda kwake kumkanya hatareeeee
 
Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa taarifa kwa mumewe kunaashiria vingi sana lakini kikubwa ni kwamba hii ni statement ya uongo.

Ni ngumu sana katibu wa kanisa kumtumia meseji za mapenzi Mama Mchungaji, kisha Mama Mchungaji eti ajifunge kibwebwe kwenda kumkanya katibu. Polisi wanaweza kujua mahusiano yalikuwepo au kutokuwepo kwa kupitia SMS tu? Halafu mke mwenyewe ni wa mchungaji wako na wewe ni katibu wa kanisa hilo, mke wa mchungaji akufate na mwanamke mwingine kuja kukwambia usimtumie meseji za mapenzi?

Mama mchungaji aache kumwambia mumewe ili akuondoe kuwa karibu naye? Mke ameenda kwa jamaa na baadaye jamaa amekufa na tayari wame-rule out kajinyonga. What if kama walimmaliza ndio wakaamua kufunika kwa kutumia simu yake kufanya hayo mawasiliano?

Polisi wadili na mauaji tuu, hayo ya mapenzi wayaweke kando kwanza.

PUBLIC CAN NOT BUY THIS CHEAP EXPLANATIONS.

View attachment 2377177
HAKUNA KITU KAMA HICHO URODA ULILIWA Amdanganye Masanja sio sisi
 
Hii ni Part 4 au tuendelee kumsubiria Mshana Jr ??

Mimi nasubiria Kasie aje Butiama kunikanya nione kama nitakuwa na kipaji cha kujidedisha
 
Katibu alichokosea ni kuoa tu maana ukute utamu ukapungua kasi,mwendo hadi madoido hivyo mama watatu akaona bora ammwage tu
Yaani Mama mchungaji aliamua kumnyima utelezi Katibu kwakuwa tu ameoa? Yaelekea Mama mchungaji ana wivu wa kupitiliza
 
bado story ni ya kitoto kidogo.

either jamaa kajiua baada ya kukatishiwa penzi lililomtia ukichaa au kauwawa baada ya kutokutii onyo la kuacha mali za wazee.
issue ya jamaa kujiua eti kisa jamaa kanyimwa mbunye haipo.

Police force should go deep to unveils the hidden issues.
Hilo la pili ndo sahihi.
 
Dogo alikuwa na mke mrembo tu, sema yapo mengine yamefichwa
 
Attachments

  • 20221005_165609.jpg
    20221005_165609.jpg
    112.1 KB · Views: 13
Kwa akili zangu za kuvukia barabara, kuna maswali mengi najiuliza ila jibu linakuja ni moja tu,

Mara kadhaa tumesikia kuwa jamaa yaani masanja ni muuza ngada mzuri tu na hili sio leo kulisikia na kwa Tanzania hii ukiona mtu anajipendekeza sana kwenye siasa hasa za chama tawala na hata kama wananchi tunaumia kiasi gani yeye hajali bali ni kufurahia tu iwe mazuri au mabaya nyakati zote huwa wanafichia maovu yao huko.

Ninachojua katibu wa kanisa ni mtu wa karibu sana na mchungaji kiongozi na siri nyingi za kwao wanabadilishana, jibu langu linaniambia hivi hata habari ya mapenzi haipo isipokuwa picha limechorwa kuficha vingi na vizito zaidi huenda katibu alitaka kuuza siri na akashtukiwa wakaona wakimuacha hai atachafua so heri kumchafua mkewe kwa mda kidogo na litasafishika.

Mwisho ni huu dam haiachi kulia na kudai haki kama ni kweli basi mwisho hauji kuwa mwema.

Tukutane mwaka mpya na Rais mpya na katiba mpya mtayajua mengi kwa sasa ni ngumu kujua maana kila mtu ni muongo na tapeli na wala hakuna anaechukua hatua zozote za kiuchunguzi, Ikiwa mtu mwenye dhamana kubwa kama waziri mkuu anadanganya, waziri wa katiba na sheria tena ni professor wa sheria analidanganya Taifa na yupo huru mtaani mimi na wewe ni nani. Mfano kidogo tu mbayuwayu wote mliopo pale TPA nahisi mnaelewa vizuri umafia unaofanyika walipa kodi ni mimi na wewe ila wengine hayawahusu na ukitaka kusanua unaambiwa mabwepande panakuhusu.

Naongea kwa maumivu makubwa uzelendo bandia kwenye hili taifa😭😭😭😭😭😭
 
Polisi wanapaswa kuifanyia case study hii issue aisee kuna mengi yanaweza kuwa yametokea na kufichwa hapa.

Bishop na mama Bishop inawezekana wameshirikiana kukatisha maisha ya dogo kwa sababu za kimaslahi ndani ya ofisi yao, inawezekana dogo alikuwa anakaribia kurudi nyuma na kutoa siri nzito za wamiliki wa kanisa baada ya kuona hana manufaa yeyote na kinachoendelea undercover.
 
Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa taarifa kwa mumewe kunaashiria vingi sana lakini kikubwa ni kwamba hii ni statement ya uongo.

Ni ngumu sana katibu wa kanisa kumtumia meseji za mapenzi Mama Mchungaji, kisha Mama Mchungaji eti ajifunge kibwebwe kwenda kumkanya katibu. Polisi wanaweza kujua mahusiano yalikuwepo au kutokuwepo kwa kupitia SMS tu? Halafu mke mwenyewe ni wa mchungaji wako na wewe ni katibu wa kanisa hilo, mke wa mchungaji akufate na mwanamke mwingine kuja kukwambia usimtumie meseji za mapenzi?

Mama mchungaji aache kumwambia mumewe ili akuondoe kuwa karibu naye? Mke ameenda kwa jamaa na baadaye jamaa amekufa na tayari wame-rule out kajinyonga. What if kama walimmaliza ndio wakaamua kufunika kwa kutumia simu yake kufanya hayo mawasiliano?

Polisi wadili na mauaji tuu, hayo ya mapenzi wayaweke kando kwanza.

PUBLIC CAN NOT BUY THIS CHEAP EXPLANATIONS.

View attachment 2377177
Huyo hakuwa mwanaume alikuwa katibu wa kanisa-uwe unaelewa
 
Police wetu wanapenda sanA kurahisisha mambo. Hawataki kuumiza kichwa kwenye maswala ya upelelezi
 
Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa taarifa kwa mumewe kunaashiria vingi sana lakini kikubwa ni kwamba hii ni statement ya uongo.

Ni ngumu sana katibu wa kanisa kumtumia meseji za mapenzi Mama Mchungaji, kisha Mama Mchungaji eti ajifunge kibwebwe kwenda kumkanya katibu. Polisi wanaweza kujua mahusiano yalikuwepo au kutokuwepo kwa kupitia SMS tu? Halafu mke mwenyewe ni wa mchungaji wako na wewe ni katibu wa kanisa hilo, mke wa mchungaji akufate na mwanamke mwingine kuja kukwambia usimtumie meseji za mapenzi?

Mama mchungaji aache kumwambia mumewe ili akuondoe kuwa karibu naye? Mke ameenda kwa jamaa na baadaye jamaa amekufa na tayari wame-rule out kajinyonga. What if kama walimmaliza ndio wakaamua kufunika kwa kutumia simu yake kufanya hayo mawasiliano?

Polisi wadili na mauaji tuu, hayo ya mapenzi wayaweke kando kwanza.

PUBLIC CAN NOT BUY THIS CHEAP EXPLANATIONS.

View attachment 2377177
Kwenye hili sakata kuna "term" mbili zinachanganywa. KUACHWA na KUKATALIWA. Katibu kajiua baada ya KUACHWA.... kwamba kuna kitu kilikua kinaendelea baina yao kikasitishwa.
 
Back
Top Bottom