Mwanaume akutongoze, kisha umfuate kwake kumkanya, kweli ulisikia wapi?

Sema ndo vile anayetakiwa kufanyiwa uchunguzi ni Chawa mbobezi, ila hichi kifo kina maswali mengi ya kiupelelezi yasiyokua na majibu mepesi. Ila ndo hivo tena Masikini haki yake iko mbinguni.
 
Masanja alikula mke wa katibu ,katibu nae akataka kula la mke wa Masanja na akafanikiwa ila mke hakutaka mambo yaendelee hapo ndio shida ilipoanzia.

Mtu ukimfanyia ubaya huanza kulipa taratibu bila muhusika kujua.


Mwisho naona baada ya hiki kipindi kuna uwezekano kanisa la Masanja kujaa zaidi na kupata support ya wachungaji zaidi.
 
Limeshakuwa danga hilo ni kupiga chini tu.
 
Usisahau Masanja ni ccm na wanaochunguza ni policcm so usitarajie kuujua ukweli zaidi ya taarifa Yao ya kubumba!
 
Kuna nyimbo moja ya p mawenge ina kisa kama hiki kwaio nadhan polisi waickilize hii nyimbo afu ndo waanze uchunguzi
 
Ila mbona mi haliniingii akilini hata tuseme mchungaji ametaka kulipiza kisasi ila asingefikia hatua ya kumshirikisha mwanamke angepangilia na watu wake mke anakua hajui chochote nyuma ya pazia
 
Sema ndo vile anayetakiwa kufanyiwa uchunguzi ni Chawa mbobezi, ila hichi kifo kina maswali mengi ya kiupelelezi yasiyokua na majibu mepesi. Ila ndo hivo tena Masikini haki yake iko mbinguni.
Masanja anakula yule Mama wa Sensa wanatoka mkoa mmoja.. hapo iyo kesi itaishia juu kwa juu tu atalindwa na mchepuko wake mama sensa.
 
Taarifa ya polisi imezidisha mkanganyiko badala ya kuondoa sintofahamu... Kuna mengi nyuma ya pazia na naambiwa marehemu keshazikwa.. SO FAST!?
Polisi hawajawahi KUFANYA uchunguzi mapema kiasi hiki.... Ni waongoooo
 
Hahahahah kwani polisi wanasomea nin vyuoni?
Nlikuwa nahisi ni uongo ila naanza kuamini kuwa mama mchuu alinyonywa titi na katibu
Sasa mkuu ulitaka polisi wasema Mama mchungaji alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na katibu ? Uoni ingeleta taharuki kubwa, bora polisi wamesema jambo jema lenye kuleta Amani na upendo.
 
Tukiweka suala la walikuwa Wapenzi ama la, huenda ujumbe uliopelekwa na Mama Mchungaji na Mwenzake ndio ukawa chanzo cha Katibu kuona ajitoe uhai.

Kikubwa hapa ni kujua walienda kumwambia nini?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…