Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Wengine hatumjui aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hapo
2074313_65211725-EE18-4C35-9A96-FCBE1969725D.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unatokea Kanda ya Ziwa? au Tukuyu?
Hahaaaa umenikumbusha enzi hizo nilipata story kuna Msukuma alimpenda Miriam Odemba lkn alikuwa hana access ya kumwona wala kumtongoza..watu wakapiga hela sana kupitia hiyo deal mwisho wa siku Msukuma akaishia kupiga busu shavuni huku akiliwa ma mamilion.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiseme hatuna hera sema Sina hera

kelphin kepph
 
Hii kitu hua naisikia sana ila sijawahi kuelewa inawezekanaje.. Hivi hela inachezewa vp?
 
Kikubwa kaa ukijua maisha ya social media na maisha halisi ni vitu viwili tofauti kama Yesu Mnazareth na Bwana shetani. Wakati mwingine hayo yote sio chanzo cha furaha ya ndani ya mtu!
 
Back
Top Bottom