Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Niliwahi kumuacha Irene uwoya hivihivi so eti nimeshindwa but siyo aina ya wanawake naowapenda ilikuwa rose garden miaka ya 2008 akiwa star kwenye bongo movies
 
Raha ya hawa wanawake ukiwakuta Dubai unakula kwa dola 100 na unajifanya wala siyo mbongo ili asilete ujuaji. Huwa wanaenda tu na tiketi ya kwenda na kurudi pamoja na dola 150 ya hoteli siku sita ila wakirudi wanarudi wamefunga mzigo wa kwenye viduka vyao pamoja na hela kibao. Wanakozipata watajua wenyewe ila ni wanaliwa tigo mpaka aibu!
Huko Dubai ni hatari,
 
Back
Top Bottom