Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Mkuu kuna mhuni mmoja nilikua natafuta screenshot zake yeye yupo SA kazi yake ni kuwa expose hawa ma gold digger kazi yake yeye ana wainbox anawatajia dau wamrembo wanakubali mmoja wao anaitwa nomsa_87 instagram yeye hajaweka picha hata moja madem wanataja tu i.e R7000-10000 yeye anawaambia anawapa tiketi ya ndege madem wanafunguka tu i.e kwa siku 3 R10000-12000


Mkuu Nomsa amesimama sio kitoto
20200316_171520.jpg
 
Ni Kweli wana hela za kuchezea.
Mimi ningekua mwanaume mahips yamechongoka kama sinia za sele bonge nisingepoteza hata mbuni yangu
Acha wivu wa kijinga wewe kwa sisi wanaume wengi wetu huu ndio ugonjwa wetu kuna utamu wake kwa mademu dizain hii hatari
 
Kuna kipindi kabla gigy hajapata vijisenti bei yake ilikuwa laki moja per night lulu alikuwa anataka 4 star na laki 5 mpaka 1m jamaa angu alipiga(lulu unaambiwa ni fundi siyo mchezo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wote waliwahi au wanajiuza ndo maana wanatolewa mahali na kuhudumiwa
 
Back
Top Bottom