Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Yani ungeona huyo muhuni aliekua anamlaghai ungechoka mkuu...hakua hata na picha moja
 
Mkuu mbona ninayo pesa ya kawaida
Hapo nimemwakikishia milo mitatu kwa siku na pocket money si chini ya 30k kila anapotoka geto
Kila jumamos anaenda saluni bei 30-50k
Hayo mengine asikichanganye
Maana huyu bidada anaenda Dubai Mara Kwa mara na anatumia iPhone za Tsh. milioni 3, tena mbili.

Hapa Dar kuna watu wana pesa nyingi sana za kuchezea aisee.
View attachment 1389269
 
Mwanaume au wanaume anao wauzia mbunye.

Huyo lazima afanye hivyo sababu hatoi jasho wala haumizi akili ktk kutafuta hela.

Yy kazi yake ni kutanua miguu,wanaume wanamlenga baada ya hapo anapewa chake wanaachana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom