Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Mnaijeria nahisi kafilisika na kaishiwa hela, pia kaona gharama za kummiliki posh queen ni kubwa sana, miezi 6 ukute demu anakudai hela za kununua paso, ukizingatia hapa Tanzania sio kwao, na misosi ya kitanzania nahis ilikuwa inampa shida yule mnaijeria, akaona usintanie ww, akamuacha dada kwenye mataa

Najiuliza huyo mnaijeria mweusi ana nini kipya ambacho mwanaume wa kibongo hana, kama ni kubadilisha ladha heri posh angedate na mwarabu, mhindi au mzungu..

Evelyn Salt cariha
Wanaijeria nasikia wana madude ya kijeshi, labda ndio lilimvutia poshy
 
Kauchezea wee ule msambwanda hadi kachoka?
Itakuwa

Ova
 
ukiisha kaa na mwanamke zaidi ya siku 90, anakuwa wa kawaida sana. unaanza kufikiria utamu toka kwa wengine tena
 
Back
Top Bottom