Mwanaume aliye tayari kwa ndoa anahitajika

Mwanaume aliye tayari kwa ndoa anahitajika

Kuhusu kula ujana inategemea na kipato cha mtu,kama hela zenyewe kazipatia kwenye umri ambayo vigezo vyako inataka sahau kahusu kula ujana,wewe sema kuwa humpate anaye kuheshimu msogeze MAISHA mengine muachie MUNGU!
 
Ah wee hawa ndio wale ambao baadae unakuta mnaanza kupiga story za ukubwa wa m.booo. sitaki ya ikute ya yule jamaaa,🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Stori stori mara ..kituuuu..basi usihofu mume mtarajiwa naacha kabisa mazoea na huyo jirani yangu
 
Back
Top Bottom