Mwanaume aliye tayari kwa ndoa anahitajika

Mwanaume aliye tayari kwa ndoa anahitajika

Zipo nyingi sana, but siwezi weka public
Yaani ni sawa uweke tangazo:

"Natafuta mnunuzi wa gari... mnunuzi ninaemtaka lazima awe na hela, awe na leseni class C, awe hajawahi kupata ajali, awe na uwezo mzuri wa kuona, asiwe mlevi nk. Mwenye sifa hizo aje dm, taarifa za gari siwezi kuziweka public" 😀
 
Jinsia: Kike
Umri: 33
Dini: Mkristu/ mkatoliki
Elimu😀egree level
Kazi: Muajiriwa+mjasiliamali

Sifa za mwanaume anayehitajika
Awe anajitambua(ninj afanye kwa wakati gani, kwa nani, wapo na kwa sababu gani)
Awe mkatoliki
Awe muelewa
Awe na huruma
Asiwe mbinafsi
Asiwe msiri
Awe muwazi kwa kila jambo hata kama kakosea
Asiwe mlevi
Akiwa mwajiriwa wa serikali (sector ya afya) itapendeza but si lazima
Awe ameshamaliza kula ujana na yupo tyr kwa kuwa na familia
Umri: 36-40
Ujana kula mwisho miaka 60 tuliamua kusogeza mbele kidogo kwenye kikao kilichopita .
 
Jinsia: Kike
Umri: 33
Dini: Mkristu/ mkatoliki
Elimu😀egree level
Kazi: Muajiriwa+mjasiliamali

Sifa za mwanaume anayehitajika
Awe anajitambua(ninj afanye kwa wakati gani, kwa nani, wapo na kwa sababu gani)
Awe mkatoliki
Awe muelewa
Awe na huruma
Asiwe mbinafsi
Asiwe msiri
Awe muwazi kwa kila jambo hata kama kakosea
Asiwe mlevi
Akiwa mwajiriwa wa serikali (sector ya afya) itapendeza but si lazima
Awe ameshamaliza kula ujana na yupo tyr kwa kuwa na familia
Umri: 36-40
kwanza nimeshindwa kuelewa hii ni vaccancy ama?
 
Kuwa mvumilivu tu, Mungu atakusaidia utapata wa kukupatia faraja ya moyo.
 
hizo sifa unazotoa ninazo.ila kablq sijaja inbox unihakikishie kuwa ww n mzuri kuzid maelezo na una shepu la hatar
 
kipindi kikwete rais huu uzi wako ungeshapa mume siku nyingi...
tena ungekuta likes milion na comment laki..
pole sana hii dunia ya sasa we tafuta mtoto wako ulee tuu bila utegemezi wa baba
 
Muwe mnaleta na mrejesho kama kweli hao mnawaotafuta mnawapata au lah!
 
Jinsia: Kike
Umri: 33
Dini: Mkristu/ mkatoliki
Elimu😀egree level
Kazi: Muajiriwa+mjasiliamali

Sifa za mwanaume anayehitajika
Awe anajitambua(ninj afanye kwa wakati gani, kwa nani, wapo na kwa sababu gani)
Awe mkatoliki
Awe muelewa
Awe na huruma
Asiwe mbinafsi
Asiwe msiri
Awe muwazi kwa kila jambo hata kama kakosea
Asiwe mlevi
Akiwa mwajiriwa wa serikali (sector ya afya) itapendeza but si lazima
Awe ameshamaliza kula ujana na yupo tyr kwa kuwa na familia
Umri: 36-40
Njoo PM tuyajenge
 
Dah! Usiniambie nimechelewa kuliona hili tangazo lako! Yaani kwa mara ya kwanza kabisa nimeweza kufaulu vigezo ulivyoweka kwa 99%!!

Yaani nimefeli hapo kwenye mwajiriwa sekta ya afya tu! Kwingine kote ✅✔️☑️

Njoo pm my wife material. Mimi ni Mkatoliki mwenye imani thabiti! Sinywi pombe! Sivuti sigara! Sema tu umri pia umezidi kidogo! 😩. Ila tu hujasema una watoto wangapi mpaka sasa! 🙄 Mimi mwenzako ninao kama wawili hivi!
 
Back
Top Bottom