Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.
Mnapiga na picha na kuzisambaza mitandaoni, wajuba wameona paja la mwanamke wako, sasa wanampigia mahesabu mwanamke wako.
Mwanaume aliyekosa akili huwa hana uwezo wa kumzuia mwanamke wake asivae nusu uchi hadharani.
Wanaume tuache ujinga.