Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

Ndio tatizo la kuja mjini ukubwani.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Inakuhusu nini? Nguo yake inanihusu nini? Fanya yako, nifanye yangu na yeye afanye yake. Kam unaweza tembea nchi nzima kamata wanaovaa uchi maana wako wengi
Tuliza mihemko ujibu kama mtu mwenye hekima na anayetumia brain yake vizuri. Yaani ulivyojibu ni kama mtu aliyepaliwa na wali kisha akaanza kukohoa mfululizo na akasahau kabisa alichokuwa anafanya muda mfupi uliopita

Ndio ulichokifanya hapa wewe, hapa tunaongelea mwanaume kushindwa kumdhibiti mkewe asivae nguo za nusu uchi na wala hatuongelei wavaa uchi wa nchi nzima upo hapo?

Nakuuliza tena, je ni sahihi kumuacha mke wako avae nguo za nusu uchi kisa tu eti hata akivaa nguo zinazomstiri vizuri bado tu wajuba watamtongoza??

Na pia unaposema eti nguo yake haikuhusu, kwa hiyo siku akikwambia kuna nguo ameipenda na anataka kuinunua ila amepungukiwa hela kidogo halafu nguo zenyewe ndio hizo hizo zinazomuacha nusu uchi, je utakuwa tayari kumsaidia hela kidogo akanunue nguo hiyo ya nusu uchi kwa sababu tu haikuhusu??

Nyie vijana wa millennial mna matatizo sana
 
Nafikiri mngeitafuta logic nyuma ya hiyo picha kabla hamjasema yote.

Huyo dada Ali Kamwe aliweka shindano katika page yake ya kumtafuta dada wa kuhudhuria nae harusi (ya mfanyakazi mwenzao pale Yanga) ndipo huyo dada (pichani) akashinda kwa kura nyingi, ndio akahudhuria nae kama mnavyoona.

Hata hivyo sioni ubaya katika hiyo nguo, ni nguo sahihi katika tukio sahihi. Acheni watu wapendeze jamani, eh!
Ok, ok. Nikadhani ni nke na mume.
 
Malaya ni malaya tu

Hakuna mke/mpenzi hapo

Hayo mavazi ni kwa ajili ya kutafuta attention za wanaume

Tayari ana mwanaume anavaa hivyo kwa ajili ya nani?

Kama sio umalaya ni nini?

Anyway kwenye hiyo picha naona lesbians wawili wakiingia ukumbini

Umalaya huwezi upima kwa mavazi kwani hujaona watu wanavaa nguo za heshima ila umalaya hapo ndio nyumbani?? Ebu acheni hizo na nyie.

Alafu hao sio wapenzi jaman em kafatilieni insta page ya Ali.
 
Hata hivyo sioni ubaya katika hiyo nguo, ni nguo sahihi katika tukio sahihi. Acheni watu wapendeze jamani, eh!
Hapa umealibu dada angu, mimi binafsi siwezi nikaruhusu mke wangu kuvaa hivyo.
 
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.

Mnapiga na picha na kuzisambaza mitandaoni, wajuba wameona paja la mwanamke wako, sasa wanampigia mahesabu mwanamke wako.

Mwanaume aliyekosa akili huwa hana uwezo wa kumzuia mwanamke wake asivae nusu uchi hadharani.

Wanaume tuache ujinga.

View attachment 2989182
Kama ni mgawaji atagawa tu hata kama anavaa baibui
 
Tuliza mihemko ujibu kama mtu mwenye hekima na anayetumia brain yake vizuri. Yaani ulivyojibu ni kama mtu aliyepaliwa na wali kisha akaanza kukohoa mfululizo na akasahau kabisa alichokuwa anafanya muda mfupi uliopita

Ndio ulichokifanya hapa wewe, hapa tunaongelea mwanaume kushindwa kumdhibiti mkewe asivae nguo za nusu uchi na wala hatuongelei wavaa uchi wa nchi nzima upo hapo?

Nakuuliza tena, je ni sahihi kumuacha mke wako avae nguo za nusu uchi kisa tu eti hata akivaa nguo zinazomstiri vizuri bado tu wajuba watamtongoza??

Na pia unaposema eti nguo yake haikuhusu, kwa hiyo siku akikwambia kuna nguo ameipenda na anataka kuinunua ila amepungukiwa hela kidogo halafu nguo zenyewe ndio hizo hizo zinazomuacha nusu uchi, je utakuwa tayari kumsaidia hela kidogo akanunue nguo hiyo ya nusu uchi kwa sababu tu haikuhusu??

Nyie vijana wa millennial mna matatizo sana
Huyo sio mke wake, hoja yako hapo inakosa mashiko tayari.
 
Umalaya huwezi upima kwa mavazi kwani hujaona watu wanavaa nguo za heshima ila umalaya hapo ndio nyumbani?? Ebu acheni hizo na nyie.

Alafu hao sio wapenzi jaman em kafatilieni insta page ya Ali.
Mavazi ni kipimo cha umalaya. Ukiona mwanamke anavaa nguo za kuonyesha sana sehemu zake za mwili kama huyo malaya kwenye picha ujue ni malaya

Umewahi kuona wauza uchi wanavyovaa?

Hata kama sio wapenzi picha imefikisha ujumbe
 
Malaya ni malaya tu

Hakuna mke/mpenzi hapo

Hayo mavazi ni kwa ajili ya kutafuta attention za wanaume

Tayari ana mwanaume anavaa hivyo kwa ajili ya nani?

Kama sio umalaya ni nini?

Anyway kwenye hiyo picha naona lesbians wawili wakiingia ukumbini
We jamaa unalipenda sana hilo neno "malaya", sijui ndio umeambiwa ni kati ya maneno ambayo ukiwaita wanawake wanaumia, kwa bahati nzuri au mbaya hawa wa kizazi hiki na vizazi vinavyokuja mtawaita majina yote ila hawaumii wala hawajali tena

Na wangekuwa wanajali basi mngeshaanza kuona mabadiliko ila ndio kwanza hao so called 'malaya' wanazidi kuongezeka, na matokeo yake wanaume ndio mnabaki kuumia kihisia kwa kukosa 'wife material', so ni either muanze kubadilika ninyi au muendelee kujifariji na kuwatukana wanawake hadi mwisho wa dahari

Yeye kutafuta attention ya wanaume wengine siyo kosa lake kwa sababu hapo alipo hana uhakika kama huyo mwanaume ndiye atakayemuoa, kwa sababu hata huyo mwanaume nina uhakika hapo alipo hana mwanamke mmoja na wanawake wengi wanajua hilo maana huwa mnasema wenyewe, sasa kwa tamaduni zetu anayeamua ndoa ni mwanaume

Mwanaume ndiye anayejua katika ya hao wanawake alionao atamuoa nani atamuacha nani ilihali mwanamke hajui kama yeye ndiye atakayeolewa hapo au la, kwahiyo hata akitafuta attention ya wanaume siyo mbaya pengine akiongeza wengine na probability ya kuolewa inaweza kuongezeka kuliko akiwa na mmoja, hivyo msiwalaumu wanawake jilaumuni wenyewe kwa umalaya wenu mlioupa jina la 'nature'

Hata population yenyewe tu inawakataa na hairuhusu kila mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja, na kama ambavyo huwa mnasema mwanaume anatakiwa kuhudumia mwanamke ambaye yuko naye kwenye ndoa tu (japo huwa mnahudumia mpaka michepuko), basi vivyo hivyo na mwanamke anayetakiwa kutulia ni yule ambaye yuko kwenye ndoa tu
 
Na wangekuwa wanajali basi mngeshaanza kuona mabadiliko ila ndio kwanza hao so called 'malaya' wanazidi kuongezeka, na matokeo yake wanaume ndio mnabaki kuumia kihisia kwa kukosa 'wife material', so ni either muanze kubadilika ninyi au muendelee kujifariji na kuwatukana wanawake hadi mwisho wa dahari
My body my choice ndio huwa kauli yenu ila mkishakuwa mishangazi mnahaha. Hakuna mwanaums anayeumia ila tunawatumia
 
Sasa mwanamke kama huyo nimwataje kwa jinsi alivyovaa kimalaya?
Hizo huwa ni kauli zenu za kujifariji tu wala hamna lolote
My body my choice ndio huwa kauli yenu ila mkishakuwa mishangazi mnahaha. Hakuna mwanaums anayeumia ila tunawatumia
Mngekuwa hamuumii basi msingekuwa mnalalamika kuhusu maovu ya wanawake kwenye uchumba na kwenye ndoa, na cha kushangaza zaidi pamoja na malalamiko yote hayo bado ndoa zinafungwa kila siku, wakati wenye maamuzi ya kuoa ni wanaume na wana uwezo wa kuacha kuwaoa hawa wanawake ila bado kila siku wanawaoa
 
wakati wenye maamuzi ya kuoa ni wanaume na wana uwezo wa kuacha kuwaoa hawa wanawake ila bado kila siku wanawaoa
Baada ya kuoana kesho yake huachana.

Sababu ya kuachana ni kwamba huoana baada ya ulaghai kushika hatamu, baada ya kuishi pamoja ndipo kila mmoja hujulikana rangi yake ni ipi, hapo ndipo ndoa hufikia tamati

Wanawake ndio chanzo kikubwa cha kuachana.
 
Back
Top Bottom