Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
- #61
Hata mwana fa ni dokta 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mwana fa ni dokta 😂😂
Umeandika kama mvulana anayetetea uvulana wake, ni haki yako kuutetea uvulana wako.Hivi hii haki wabongo ya kuwapangia maisha watu wengine tuliitoa wapi? Najiuliza siku nyingi sana sioni kwenye literature review wala mapokeo! Yani kila mtu akichefukwa huko barabarani anakuja JF kuleta sheria zake na upotofu wake akitaka watu wengine waufuate. Dunia kubwa hii utajichosha sana na kujizeesha kufuatilia maisha ya watu wengine ambao kimsingi hata huwafahamu

Nenda kawafundishe wavulana wenzio wenye mtazamo kama wako. Mie nilshahama kwenye uvulana kitambo.Ngoja nikufundishe
Tumeshamalizana kijana uendelee na ukuaji wako, siku ukikua utaacha utoto.Matatizo ya elimu za kukariri, unafikri ni hesabu za mara na jumlisha hizi! Hujui wanawake wewe na hutakaa uwajue kwa akili finyu namna hii! Human mind sio km ya kondoo, huwezi kumcontrol binadamu kwa imani zako finyu hizo.
Lakini cha ajabu pamoja na wanaume mabachela kusikia haya ila bado wanaendelea kuoa, wewe umefanya utafiti gani kujua kwamba chanza cha ndoa kuvunjika ni wanawake, au ndio kama kawaida ya wanaume kujiona innocent na kuwa makosa yenu ni madogo yanavumilikaBaada ya kuoana kesho yake huachana.
Sababu ya kuachana ni kwamba huoana baada ya ulaghai kushika hatamu, baada ya kuishi pamoja ndipo kila mmoja hujulikana rangi yake ni ipi, hapo ndipo ndoa hufikia tamati
Wanawake ndio chanzo kikubwa cha kuachana.
Kuna vishawishi hutumiwa na hao wanawake kuwafanya waolewe na wanaumeLakini cha ajabu pamoja na wanaume mabachela kusikia haya ila bado wanaendelea kuoa
Utafiti wangu ni huu wanawake hujificha katika wema wakati wote wa uchumba, Ila wakiisha olewa wema wao hutoweka na kuuvaa uovu wote, wataanza kucheat, wataanza kuwanyima waume zao, wataanza kuiba hela kwa kuchota hela za matumizi ya nyumbani na kuzipeleka kusikojulikana,mizozo itatamalaki, watakuwa wabishi nk.wewe umefanya utafiti gani kujua kwamba chanza cha ndoa kuvunjika ni wanawake

Kuna vishawishi hutumiwa na hao wanawake kuwafanya waolewe na wanaume
Utafiti wangu ni huu wanawake hujificha katika wema wakati wote wa uchumba, Ila wakiisha olewa wema wao hutoweka na kuuvaa uovu wote, wataanza kucheat, wataanza kuwanyima waume zao, wataanza kuiba hela kwa kuchota hela za matumizi ya nyumbani na kuzipeleka kusikojulikana,mizozo itatamalaki, watakuwa wabishi nk.
Hakuna wanaune anayeweza kuchukuliana na mwanamke wa hivyo.
Ni vishawishi gani hivyo ambavyo wanawake hutumia ili waolewe na wanaume hebu viseme hapa, kuhusu hiyo aya yako ya pili ndio maana nikakuuliza kwanini wanaume pamoja na kujua hayo yote ila bado wanaendelea kuoa, yani tayari mmeshajua kwamba wanawake wote ni waigizaji na huonesha maovu yao wanapoingia kwenye ndoa kwanini sasa mnaendelea kuoaKuna vishawishi hutumiwa na hao wanawake kuwafanya waolewe na wanaume
Utafiti wangu ni huu wanawake hujificha katika wema wakati wote wa uchumba, Ila wakiisha olewa wema wao hutoweka na kuuvaa uovu wote, wataanza kucheat, wataanza kuwanyima waume zao, wataanza kuiba hela kwa kuchota hela za matumizi ya nyumbani na kuzipeleka kusikojulikana,mizozo itatamalaki, watakuwa wabishi nk.
Hakuna wanaune anayeweza kuchukuliana na mwanamke wa hivyo.
Mbona nimeeleza jamani.Ni vishawishi gani hivyo ambavyo wanawake hutumia ili waolewe na wanaume hebu viseme hapa,
Baada ya kutoka ukumbini ikawaje?Nafikiri mngeitafuta logic nyuma ya hiyo picha kabla hamjasema yote.
Huyo dada Ali Kamwe aliweka shindano katika page yake ya kumtafuta dada wa kuhudhuria nae harusi (ya mfanyakazi mwenzao pale Yanga) ndipo huyo dada (pichani) akashinda kwa kura nyingi, ndio akahudhuria nae kama mnavyoona.
Hata hivyo sioni ubaya katika hiyo nguo, ni nguo sahihi katika tukio sahihi. Acheni watu wapendeze jamani, eh!
Jadda mambo. Huoni siku hizi campaign ya kataa ndoa imepamba moto?Ni vishawishi gani hivyo ambavyo wanawake hutumia ili waolewe na wanaume hebu viseme hapa, kuhusu hiyo aya yako ya pili ndio maana nikakuuliza kwanini wanaume pamoja na kujua hayo yote ila bado wanaendelea kuoa, yani tayari mmeshajua kwamba wanawake wote ni waigizaji na huonesha maovu yao wanapoingia kwenye ndoa kwanini sasa mnaendelea kuoa
Ni wanawake wangapi wanaotengeneza hizo bikira za kughushi au mnafikiri kurudisha bikira ni rahisi kama kunywa maji tu, anyway ndio maana nikasema kama wanaume mmeshazijua hizo tricks zote za wanawake kwanini bado mnaendelea kuoa, si muache kabisa kuoa ili muwakomoe wanawake kwani ninyi hata msipooa mna shida ganiMbona nimeeleza jamani.
Huwa mnajufanya wema ili kuwapata wanaume wakurupukaji.
Huwa mna bikira za kughushi. Hapo ndipo huwa mnawavuta wanaume Ila baada ya ukweli kujulikana ndoa hufikia tamati
Mkuu kwani ni wanaume wangapi wanapita humu mitandaoni kila siku na wanakutana na hizo campaigns za kataa ndoa, ila bado wanawapinga wanaume wenzao na kushikilia msimamo wao kwamba ndoa ni muhimu hao nao utasema hawajafikiwa na ujumbe, wengine huenda mbali zaidi na kuwaita kataa ndoa kuwa ni either wabinafsi au mashoga na wengine hutolea mifano ya ajali zinazotokea kila siku ila bado watu hawaachi kusafiri je hiyo tafsiri yake ni niniJadda mambo. Huoni siku hizi campaign ya kataa ndoa imepamba moto?
Labda wanaooa bado hawajafikiwa na ujumbe wa kataa ndoa.
You are very bitter, hebu heal haraka.Malaya ni malaya tu
Hakuna mke/mpenzi hapo
Hayo mavazi ni kwa ajili ya kutafuta attention za wanaume
Tayari ana mwanaume anavaa hivyo kwa ajili ya nani?
Kama sio umalaya ni nini?
Anyway kwenye hiyo picha naona lesbians wawili wakiingia ukumbini
Tunaoa na kuacha ndio maana kuna ongezeko kubwa la single father's & mother'skwanini bado mnaendelea kuoa, si muache kabisa kuoa ili muwakomoe wanawake kwani ninyi hata msipooa mna shida gani
Kuna asilimia ngapi ya talaka kati ya ndoa zinazofungwa kwa kila muda fulaniTunaoa na kuacha ndio maana kuna ongezeko kubwa la single father's & mother's
MmhhNakupenda Jadda
KweliMmhh