Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mkuu kila siku iitwayo leo kumbi za sherehe zinajaa na nyingi zinahost harusi tu hapo bado hatujazungumzia zile ndoa za mikeka, na za kiserikali ambazo nyingi hawafanyi sherehe kwahiyo hilo si suala la kuletewa utafiti rasmi bali ni la kujionea wewe mwenyewe tu, ila kwenye talaka siyo rahisi kujua ni ngapi zinatolewa kila siku hivyo hilo suala linahitaji utafiti rasmi na siyo porojoHata wewe ni umeandika uongo maana hujaambatanisha takwimu zozote zenye kuthibitisha kuwa wanaume wanaoa kwa wingi.
Mie sio muongo maana nilisha achana na aliyekuwa mke wangu. Sijui kwa upande wako kama unaishi katika ndoa yako