Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
- #141
Unaonekana huijui kabisa Tengeru, na mtazamo wako kwamba ipo kijijini kwa wakulima ni wa kitoto sana huo mtazamo.Kumbe ni Tengeru? Kwenye kilimo cha chai na kahawa. Dah sorry sana mkuu! Inabidi niombe tu radhi, sikujua context na thread yako na nakubali upo sahihi kabisa kwa kuwa unaoongelea ni wanawake wa vijijini, kweli hao unaweza kbs kuwamiliki na kufanya yote uliyoyasema. Mi nilikuwa naongelea wanawake wa huku duniani sio vijijini kwa wameru na wengine, naongelea wanawake professional waliosoma shule na wana kazi na maisha yao sio wakulima wanaotuzalishia mazao na kunywa mbege. Nishakuelewa sasa nakuacha kama ulivyotaka!
Hao unaowaita wanawake professional walioenda shule ndio hao hao waliopo Tengeru, najua wewe ni zwazwa na hujui lolote kuhusu global village.
Mwanamke wa Tengeru ndiye yule yule wa London, ndiyo yule yule wa kwa Mpalange, ndiyo yule yule wa Nairobi nk
Unaishi nao ndani ya global village, zwazwa wahed wewe.