Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Wewe ziweke hapaNitumie namba yako nikupigie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ziweke hapaNitumie namba yako nikupigie
Nimetangulia kukuomba namba, halafu ukanyakua ombi langu na kulifanya kuwa lako.Wewe ziweke hapa
Nimemaanisha weka takwimu mambo ya kukuomba namba yametoka wapi, mimi namba yako ya nini au wewe namba yangu ya nini, kama huna takwimu acha porojoNimetangulia kukuomba namba, halafu ukanyakua ombi langu na kulifanya kuwa lako.
Sijapenda hiyo tabia yako, ni heri ungesema huwezi kunipa namba, ningekuelewa tu.
Haya niambie sasa utanipa au haunipi?
Utanipa namba au haunipi?Nimemaanisha weka takwimu mambo ya kukuomba namba yametoka wapi, mimi namba yako ya nini au wewe namba yangu ya nini, kama huna takwimu acha porojo
Mjomba una dalili zote za kuchanganyikiwa hebu rudiana na mkeo kabla hujaanza kuokota makopo, namba sikupi na kama huwezi kuweka hizo takwimu hapa basi acha porojo huna hizo takwimu, siku nyingine usirudie kuvamia mada kama huna hojaUtanipa namba au haunipi?
Sikulazimishi unipe,Ila ni vyema ukinipa ili nirahisishe namna ya kukutumia takwimu uzitakazo.
Nasubiri namba.
Shangazi sio mbaya ukisema haunipi namba, Ila kuanza kunisimanga unaonekana wazi u shangazi mwenye gubu, dharau, chuki na mambo yote yanayofanana na hayo.Mjomba una dalili zote za kuchanganyikiwa hebu rudiana na mkeo kabla hujaanza kuokota makopo, namba sikupi na kama huwezi kuweka hizo takwimu hapa basi acha porojo huna hizo takwimu, siku nyingine usirudie kuvamia mada kama huna hoja
Mimi nimekukomalia ulete takwimu kwa sababu ulileta ujuaji na bado ukaanza kuniongelea personally as if unanijua, sasa kama hutaki kuendelea na mjadala si uache kuniquote wewe mbona unaendelea, wewe kuona kwamba kuna kitu kingine nakitaka kwako tofauti na takwimu ni uthibitisho tosha kuwa umechanganyikiwa..pathetic!!Shangazi sio mbaya ukisema haunipi namba, Ila kuanza kunisimanga unaonekana wazi u shangazi mwenye gubu, dharau, chuki na mambo yote yanayofanana na hayo.
Kuchanganyikiwa kwangu hakuwezi kuthibitishwa na mtu kama wewe usie daktari .
Tumeshamalizana lakini hutaki kuniacha na kwenda zako.
Ukitoa takwimu, ni nini kingine unakitaka kwangu?
Wewe ni mtu wa kujiokoteleza tu mambo, hata kipimo unachotumia kuthibitisha kuwa mimi nimechanganyikiwa umekiokota jalalani - ndivyo wafanyavyo wehu, hupita kila jalala kujiokotelezea-umeokota takwimu za kwenye jalala la Mwananchi media kisha ukadai ni takwimu za kitaifa😂😂uthibitisho tosha kuwa umechanganyikiwa..pathetic!!
Ksarii jana au juzi ulikuwa unalia kukosa msaada, je unajuaje kama huyo kapata msaada 🤭Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.
Mnapiga na picha na kuzisambaza mitandaoni, wajuba wameona paja la mwanamke wako, sasa wanampigia mahesabu mwanamke wako.
Mwanaume aliyekosa akili huwa hana uwezo wa kumzuia mwanamke wake asivae nusu uchi hadharani.
Wanaume tuache ujinga.
View attachment 2989182
Bruh hizo ni takwimu za rita na rita ni taasisi ya serikali mwananchi ni chombo cha habari kama vyombo vingine, tafiti hupingwa kwa tafiti wewe ambaye huna hizo takwimu za jalalani si ndio uziweke hapa badala yake unaishia kuleta taarabu, umechanganyikiwa ndio you seem desperate ndio maana ukahisi kuna kitu kingine nahitaji kwako tofauti na takwimu you really wish for thatWewe ni mtu wa kujiokoteleza tu mambo, hata kipimo unachotumia kuthibitisha kuwa mimi nimechanganyikiwa umekiokota jalalani - ndivyo wafanyavyo wehu, hupita kila jalala kujiokotelezea-umeokota takwimu za kwenye jalala la Mwananchi media kisha ukadai ni takwimu za kitaifa😂😂
Sasa wehu wako unakuongoza moja kwa moja kwangu kwamba nimechanganyikiwa - nina hakika kabla mie sijachanganyikiwa we ulisha changanyikiwa kitambo.
Haya mwehu mwenza nimeshaurejesha rasmi mjadala wetu tuendelee kujadili ukichaa wetu
Sijawahi kuamini taasisi yoyote ya serikali kwamba hutoaga takwimu sahihi, ikiwa wewe unaziamini taasisi za serikali basi endelea na ujinga wako.Bruh hizo ni takwimu za rita na rita ni taasisi ya serikali mwananchi ni chombo cha habari kama vyombo vingine
Hakunaga tafiti zenye ukweli katika taasisi zote za serikali hivyo peleka uongo wako kwa wajinga wenzio wapendao kudanganywa kupitia takwimu za serikali.tafiti hupingwa kwa tafiti wewe ambaye huna hizo takwimu za jalalani si ndio uziweke hapa badala yake unaishia kuleta taarabu
Nimechanganyikiwa 😂😂😂........umechanganyikiwa ndio you seem desperate ndio maana ukahisi kuna kitu nahitaji toka kwako tofauti na takwimu you really wish for that
Soma statement yako ya mwisho kwenye hiyo comment yakoShangazi sio mbaya ukisema haunipi namba, Ila kuanza kunisimanga unaonekana wazi u shangazi mwenye gubu, dharau, chuki na mambo yote yanayofanana na hayo.
Kuchanganyikiwa kwangu hakuwezi kuthibitishwa na mtu kama wewe usie daktari .
Tumeshamalizana lakini hutaki kuniacha na kwenda zako.
Ukitoa takwimu, ni nini kingine unakitaka kwangu?
Acha drama wewe umeshashindwa hoja usirukeruke hapa kujifanya eti huamini takwimu za serikali wewe ni nani kwenye hii nchi hadi upinge tafiti za serikali bila kuwa na tafiti zako za kuaminika, kwahiyo kwa sababu umezoea kutembea na malaya unadhani kila mwanamke ni malaya ujue na hii nayo ni moja ya dalili za kuchanganyikiwa na kupaniki pale unapomshambulia mtoa hoja badala ya kujadili hoja, siku nyingine usirudie kujipendekeza na kushobokea watu usiowajua vinginevyo utaishia kuonekana una depression na stress za kusalitiwa au kuachika so just get a life mr divorceeSijawahi kuamini taasisi yoyote ya serikali kwamba hutoaga takwimu sahihi, ikiwa wewe unaziamini taasisi za serikali basi endelea na ujinga wako.
Hakunaga tafiti zenye ukweli katika taasisi zote za serikali hivyo peleka uongo wako kwa wajinga wenzio wapendao kudanganywa kupitia takwimu za serikali.
Nimechanganyikiwa 😂😂😂........
Nimehisi kuna kitu unahitaji kutoka kwangu, tofauti na takwimu 😂😂😂
umwazaje shangazi?
Ni mwanamke malaya tu anayeweza kuwaza hivyo ulivyowaza wewe kuhusu mimi.
Pole sana.
Mimi ni mpinzani wa tafiti za kukuza ujinga kwa watanzaniawewe ni nani kwenye hii nchi hadi upinge tafiti za serikali
Bado umesimama kule kule kwenye viashiria vya kujitangaza wewe ni malaya kwa sababu ya kuwaza kikahaba kahaba. Makahaba wengi huwaza kama wewe.kwahiyo kwa sababu umezoea kutembea na malaya unadhani kila mwanamke ni malaya ujue na hii nayo ni moja ya dalili za kuchanganyikiwa
Huna ruksa ya kunipangia cha kujadili hapa, na wala siwezi kujipendekeza kwa kahaba awaye yote like you.siku nyingine usirudie kujipendekeza na kushobokea watu usiowajua
Tafiti gani za kukuza ujinga wakati huo ndio uhalisia sasa unataka watu wasiseme uhalisia kisa wapumbavu kama ninyi ambao hamtaki kukubali ukweli, masikini yani umepanic hadi umeshindwa kujificha umeamua waziwazi kuleta ad hominem attacks yani we tukana maneno yote ila hoja ndio ushashindwa hivyo uzuri mimi siwezi kupanic sababu najua hizo siyo sifa zangu, mkishapigwa spana huwa mnaanza kuleta matusi na maneno ya kujifariji we tafuta tu mwanamke mpumbavu atayekubali kuwa na wewe ili upunguze hayo makasiriko na kuforce mazoea eti "siwezi kujipendekeza" sasa namba zangu uliomba za niniMimi ni mpinzani wa tafiti za kukuza ujinga kwa watanzania
Bado umesimama kule kule kwenye viashiria vya kujitangaza wewe ni malaya kwa sababu ya kuwaza kikahaba kahaba. Makahaba wengi huwaza kama wewe.
Huna
Huna ruksa ya kunipangia cha kujadili hapa, na wala siwezi kujipendekeza kwa kahaba awaye yote like you.
Wapumbavu ni wale wote wanaokomaa na takwimu zilizoandawaliwa na wahuni (taasisi za serikali) ili wajifaji na upumbavu wao.uhalisia kisa wapumbavu kama ninyi
Wanaopanic hufa papo kwa hapo mara tu baada ya kupanicmasikini yani umepanic
Kuna tusi gani limeletwa hapa?mkishapigwa spana huwa mnaanza kuleta matusi
Sasa umejileta penyewe kabisa kwa kukiri wazi kwamba kuna wanawake wapumbavu, hao ndio huwa wanaolewa na kuachwa kwa sababu ya upumbavu wao😂😂we tafuta tu mwanamke mpumbavu atayekubali kuwa na wewe
Kwa mwanamke mpumbavu akiombwa namba na mwanaume humtafsiri huyo mwanaume kuwa ni mwenye kujipendekeza kwake."siwezi kujipendekeza" sasa namba zangu uliomba za nini
Ndio umejipendekeza na kunishobokea mimi sikutaki mjomba, wanawake wapumbavu si ndio wale wanaokubali kujishusha na kuolewa na wanaume wapumbavu kama ninyi ndio maana wanaachika, kama takwimu nilizoweka zingekuwa za uongo mbona yule mwenzio kakimbia, na ulijifanya kiherehere kumsupport alipodai niziweke, weka takwimu za idadi ya ndoa na talaka na kama huna hizo takwimu basi usiniquoteWapumbavu ni wale wote wanaokomaa na takwimu zilizoandawaliwa na wahuni (taasisi za serikali) ili wajifaji na upumbavu wao.
Wanaopanic hufa papo kwa hapo mara tu baada ya kupanic
Kuna tusi gani limeletwa hapa?
Sasa umejileta penyewe kabisa kwa kukiri wazi kwamba kuna wanawake wapumbavu, hao ndio huwa wanaolewa na kuachwa kwa sababu ya upumbavu wao😂😂
Kwa mwanamke mpumbavu akiombwa namba na mwanaume humtafsiri huyo mwanaume kuwa ni mwenye kujipendekeza kwake.
Upo sahihi shangazi 🤣
Yaani nikushobokee wewe nisiyejua hata urefu wa kimo chako? Acha kuwaza kwa kutumia makalio, tumia kichwa kuwaza na utagundua ujinga wako ulipo kisha utajiondoa katika huo ujinga.Ndio umejipendekeza na kunishobokea mimi sikutaki mjomba
Mwanamke yeyote anayekubali kuolewa na mwanaume mpumbavu yeye ndiye mpumbavu nambari wani. Wapo wengi sana wanawake wa hivyo ni wa kuolewa na kuachwa, huwa hawadumu katika ndoa kwa sababu ni wapumbavu.wanawake wapumbavu si ndio wale wanaokubali kujishusha na kuolewa na wanaume wapumbavu kama
Hivi bado tu unajimwambafu na hivyo vitakwimu vya mazwazwa ulivyoviokoteleza jalala? Acha ujinga shangazi.weka takwimu za idadi ya ndoa na talaka na kama huna hizo takwimu basi usiniquote kama takwimu nilizoweka zingekuwa za uongo
Mwenzangu yupi aliyekimbia? Hebu mention jina lake uone kama kweli kakimbia 😂😂mbona yule mwenzio kakimbia na ulijifanya kiherehere kumsupport aliniambia niziweke
Kwa maneno hayo wewe lazima utakuwa mnyama wa msimbazi tu!Malaya ni malaya tu
Hakuna mke/mpenzi hapo
Hayo mavazi ni kwa ajili ya kutafuta attention za wanaume
Tayari ana mwanaume anavaa hivyo kwa ajili ya nani?
Kama sio umalaya ni nini?
Anyway kwenye hiyo picha naona lesbians wawili wakiingia ukumbini
Ndio hayo matatizo ya akili ninayosema, kwani hujui kwamba kuna wajinga huwa wanashobokea watu wasiowajua mitandaoni, wanawake wapumbavu wapo na wanaume wapumbavu mpo dunia haiwezi kuwa na watu wote werevuYaani nikushobokee wewe nisiyejua hata urefu wa kimo chako? Acha kuwaza kwa kutumia makalio, tumia kichwa kuwaza na utagundua ujinga wako ulipo kisha utajiondoa katika huo ujinga.
Mwanamke yeyote anayekubali kuolewa na mwanaume mpumbavu yeye ndiye mpumbavu nambari wani. Wapo wengi sana wanawake wa hivyo ni wa kuolewa na kuachwa, huwa hawadumu katika ndoa kwa sababu ni wapumbavu.
Bado upo kwenye mstari wa ukweli kuhusu upumbavu wa mashangazi.
Hivi bado tu unajimwambafu na hivyo vitakwimu vya mazwazwa ulivyoviokoteleza jalala? Acha ujinga shangazi.
Mwenzangu yupi aliyekimbia? Hebu mention jina lake uone kama kweli kakimbia 😂😂
Wewe u miongoni mwao, na mimi ni miongoni mwao.wanawake wapumbavu wapo na wanaume wapumbavu mpo dunia haiwezi kuwa na watu wote werevu
Nilikuwekea ukasema ni za kijijini kwetu, kunidai nikuwekee takwimu zingine huku ukiniweka katika kundi la wapumbavu maana hapo hujaridhika na upumbavu wangu bali unataka ujumuishe upumbavu wangu na wako viwe kitu kimoja. Chukua sasa zile takwimu za kijijini kwangu, na kama hutaki baki na hizo takwimu zako za jalalani uendelee kujimwambafu nazo mpumbavu mwenza.weka za kwako basi za kuaminika tena za nchi nzima siyo za kijijini kwenu, kinachokufanya unabwabwaja sana hapa ni nini sasa
Kwa kulinda heshima yake ninamuita hapa Zemanda, huyu mwamba huwa hakimbii hoja za mwanamke, sasa ulivyo mjinga unajimwambafu kuwa Zemanda huwa anakukimbia, yaani Zemanda huyu nimjuaye mie akimbie hoja za mchoma vitumbua kama wewe 😂😂Ndio kakimbia kwa sababu nilipoweka hizo takwimu nilimquote na jana kuna uzi mwingine aliniquote so maana yake alikuwa online na aliona notification, huyo ananijua vizuri tukianza kubishana hatumalizi leo na kila mjadala yeye ndio huwa ananikimbia huwa anaishia tu kusema mimi mbishi hivyo hata jana alivyokimbia sikushangaa, angalau yeye huwa ana hoja hivyo mjadala unanoga