Mwanaume ambae hana mpango wa kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike.

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Kupanga ni kuchagua mwanaume ambae hana nia ya kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike, uamuzi ni wenu. Fuatilia tabia na mienendo ya maisha ya hao viumbe hawanaga ndoa wala kuoa au kuolewa.

Hawa viumbe kazi yao ni kunyandua na kupata matokeo ya minyanduano.

Ibaki kama tafakari kuamua vema ni akili na kukosea ni upumbavu.

Ni hayo tu
 
Mbwa njoo unitafune unile nyama
 
Umbwa dume na paka jike
 
Sawa mimi na Faiza ndiyo kama hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…