Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Kuna kitabu kiliandikwa na mdada wa marekani anaitwa Baje Fletcher, hicho kitabu kinaitwa "Goaldigger's guide how to get what you want from men without giving it up" kwenye hicho kitabu alifundisha wadada njia za kupata pesa toka kwa mwanaume usiempenda bila kutoa papuchi , hii factor inapinga point yako namba mbili kuwa mwanamke anaweza kumpenda mwanaume sababu huyo mwanaume ana hela, sana sana ata-pretend kupenda ili aweze endela kufaidi hela za uyo mwanaume.

Kuna vijana wengine wa kiume wanahudumia girlfriends wao kipesa tena vizuri tu, ila sehemu ya hizo hela wanazotoa zinaenda kuliwa na mwanaume mwingine.

Explain Lamomy
Mwanaume kumtenganisha na kipochi manyoya ni kutafuta vita ya tatu ya dunia…!!

Na mwanamke kumtenganisha na pesa ni sawa na Iran kutuma drones Israel

“Hapo sasa kila mtu ashinde mechi zake.”
 
Mwanaume kumtenganisha na kipochi manyoya ni kutafuta vita ya tatu ya dunia…!!

Na mwanamke kumtenganisha na pesa ni sawa na Iran kutuma drones Israel

“Hapo sasa kila mtu ashinde mechi zake.”
Kumbe wizo unaandikaga points kiasi hiki?? siku zote umenificha kweliii hausemiii why? 😢

Wizooo 😢
 
Starlet brand new wizo ake 😂😂😂 ole wako ushindwa ntakucharaza adi basi mie nagharamia ujue 🥰🥰
Wizo tulia huu mchezo naumaliza Chris brown wa mwanza wako huyu..!! Wewe jiandae kumbebisha mbona kashaingia kwenye mfumo ni ww kujiandaa kumpokea mume 🤣🤣🤣
 
Hata ukiwa tajiri,USIOE huoni kina benzos,elon musk na matajiri wengine wametalikiana na wake zao.KATAA NDOA,NDOA NI USUMBUFU TU.
 
Wizo tulia huu mchezo naumaliza Chris brown wa mwanza wako huyu..!! Wewe jiandae kumbebisha mbina kashaingia kwenye mfumo ni ww kujiandaa kumpokea mume 🤣🤣🤣
Ukumbuke mimi ni shangazi ila nina hogo, naomba umueleze kabisa Nyamitako akija asivae chupi moja kwa moja ananipa haki yangu
 
Back
Top Bottom