Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Limeisha wizo andaa starlet hiyo, mapema anko maba wako wa kufa na kuzikana 🀣🀣🀣🀣
Starlet brand new wizo ake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ole wako ushindwe ntakucharaza adi basi mie nagharamia ujue πŸ₯°πŸ₯°
 
Mwanaume kumtenganisha na kipochi manyoya ni kutafuta vita ya tatu ya dunia…!!

Na mwanamke kumtenganisha na pesa ni sawa na Iran kutuma drones Israel

β€œHapo sasa kila mtu ashinde mechi zake.”
 
Mwanaume kumtenganisha na kipochi manyoya ni kutafuta vita ya tatu ya dunia…!!

Na mwanamke kumtenganisha na pesa ni sawa na Iran kutuma drones Israel

β€œHapo sasa kila mtu ashinde mechi zake.”
Kumbe wizo unaandikaga points kiasi hiki?? siku zote umenificha kweliii hausemiii why? 😒

Wizooo 😒
 
Starlet brand new wizo ake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ole wako ushindwa ntakucharaza adi basi mie nagharamia ujue πŸ₯°πŸ₯°
Wizo tulia huu mchezo naumaliza Chris brown wa mwanza wako huyu..!! Wewe jiandae kumbebisha mbona kashaingia kwenye mfumo ni ww kujiandaa kumpokea mume 🀣🀣🀣
 
Hata ukiwa tajiri,USIOE huoni kina benzos,elon musk na matajiri wengine wametalikiana na wake zao.KATAA NDOA,NDOA NI USUMBUFU TU.
 
Wizo tulia huu mchezo naumaliza Chris brown wa mwanza wako huyu..!! Wewe jiandae kumbebisha mbina kashaingia kwenye mfumo ni ww kujiandaa kumpokea mume 🀣🀣🀣
Ukumbuke mimi ni shangazi ila nina hogo, naomba umueleze kabisa Nyamitako akija asivae chupi moja kwa moja ananipa haki yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…