Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Nafahamu lakini upendo kwa maana halisi ya upendo haupo kwa dunia ya leo, kila mtu humpendea mtu kitu fulani ndio maana nikakuuliza, wewe mwanamke unampendea nini na unataka naye akupendee nini
Umesema kila mtu umpendea mtu kitu fulani kwa tafsiri rahisi huyo hajampenda mtu amependa hicho kitu

Ndio maana nikasema akipenda pesa zangu huyo ni malaya
 
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi kuchunguza - ni katika tamaduni gani mwanaume asiye na kitu alipewa mke?

Kwa maoni yangu binafsi, haijalishi una mali kiasi gani. Ikiwa mwanaume unamudu kulipia nyumba hata ya chumba kimoja - na unaweza kujilisha - basi unaweza kumtunza mke...... na mtakuwa pamoja, oa.

Lakini ikiwa unaishi kwa kula chakula kutoka katika sifuria ya mama yako na unalala ndani ya chumba chako cha tangu utotoni nyumbani kwa mama yako, ni dhahiri haupo tayari kwa ndoa usithubutu kuoa.

Bili hazilipwi kwa busu - bili hulipwa kwa pesa tasilimu. Hama kwa mama yako uende ukatafute hela kwa jasho lako ukisha pata hela oa na uishi na mkeo kwako na sio kwa mama yako.

Pesa hujibu mambo yote (Mhubiri 10:19)

Ubarikiwe.
Aaaaah dharau hizi mkuu unatusema tuliooa na kuishi kwetu au sio!?
 
Kuna tabu gani kuishi kwenu kama kuna nafasi kubwa na wewe ukiwa unafanya shughuli zako za kiuchumi!?
Ukiishi kwenu hautakuwa mwili mmoja na mkeo.

Biblia inasema...... "Watawaacha baba na mama nao watakuwa mwili mmoja".

Hapo kwenu ni nyumbani kwa baba na mama yako ambao nao waliowaacha wazazi wao kisha wakawa mwili mmoja. Wewe nawe unapaswa kuwa na kwako na mkeo na huo ndio mwili mmoja kwako na mkeo.
 
Hiyo kwa mantiki ya biblia mkuu.
Sisi waislam hutizama maridhiano ya wanandoa kuoana na kuishi kwa mazingira ridhishi.
 
Na wanawake wa siku hizi nao hawataki kuanza na wanaume from the scratch, sababu wanajua mkizipata hakuna rangi wataacha kuona, kwahiyo ninyi tafuteni tu pesa kisha oeni hayo mengine ya kuachana sijui kugawana mali ni matokeo tu
Tukizipataa itabidi tukaoe wanawake wakishua rich family, tutaend kutega wale wanaomalza Feza 😀😀
 
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi kuchunguza - ni katika tamaduni gani mwanaume asiye na kitu alipewa mke?

Kwa maoni yangu binafsi, haijalishi una mali kiasi gani. Ikiwa mwanaume unamudu kulipia nyumba hata ya chumba kimoja - na unaweza kujilisha - basi unaweza kumtunza mke...... na mtakuwa pamoja, oa.

Lakini ikiwa unaishi kwa kula chakula kutoka katika sifuria ya mama yako na unalala ndani ya chumba chako cha tangu utotoni nyumbani kwa mama yako, ni dhahiri haupo tayari kwa ndoa usithubutu kuoa.

Bili hazilipwi kwa busu - bili hulipwa kwa pesa tasilimu. Hama kwa mama yako uende ukatafute hela kwa jasho lako ukisha pata hela oa na uishi na mkeo kwako na sio kwa mama yako.

Pesa hujibu mambo yote (Mhubiri 10:19)

Ubarikiwe.
Sawa natafuta pesa , ila nikizapata naapa sioiii, kama nitaoa basi nitatafta mwanamke wakishuaa au ametokea family yenye uwezo ili yakija kutokea ya kutokea kila mtu anabak na chake labd kile tulichochuma wote, ila hawa wanaotokea famly duni , NEVER, bora nizalishe. SIDHARAU mtoto wa mtu anayetokea family duni ila akil na mioyo yao ni🚮🚮🚮, nimejionea.
 
Tukizipataa itabidi tukaoe wanawake wakishua rich family, tutaend kutega wale wanaomalza Feza 😀😀
Haha vipi mtakuwa tayari kukubaliana na sifa walizonazo lakini, kumbukeni hao wa kishua siyo wife material kwa vigezo vyenu ninyi wanaume wa kiafrika, hao mkioa mnaweka pembeni falsafa zenu za mfumo dume vinginevyo ndoa inakufa alfajiri tu
 
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi kuchunguza - ni katika tamaduni gani mwanaume asiye na kitu alipewa mke?

Kwa maoni yangu binafsi, haijalishi una mali kiasi gani. Ikiwa mwanaume unamudu kulipia nyumba hata ya chumba kimoja - na unaweza kujilisha - basi unaweza kumtunza mke...... na mtakuwa pamoja, oa.

Lakini ikiwa unaishi kwa kula chakula kutoka katika sifuria ya mama yako na unalala ndani ya chumba chako cha tangu utotoni nyumbani kwa mama yako, ni dhahiri haupo tayari kwa ndoa usithubutu kuoa.

Bili hazilipwi kwa busu - bili hulipwa kwa pesa tasilimu. Hama kwa mama yako uende ukatafute hela kwa jasho lako ukisha pata hela oa na uishi na mkeo kwako na sio kwa mama yako.

Pesa hujibu mambo yote (Mhubiri 10:19)

Ubarikiwe.
sasa mkuu eeeh duuuh aiseee unanshangaza kdgo mana kuna hao wanaoolewa na wenye pesa lakn bado vivuluge tu hawazjal hat.hzo ndoa zako na maisha ya kwao n mazur na pesa zpo kwaio mbona mnatuchanganya shida n pesa au n nn
 
Back
Top Bottom