functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 792
Habari za muda huu wadau, naombeni kuuliza eti mwanaume ambae hana shida yeyote namaanisha shida ya kiafya anatakiwa akae muda gani au dakika ngapi baada ya bao la kwanza ? yaani ( refractory period after ejaculation) nimeuliza tu, kwa nia njema sitaki matusi kama hauna cha kucomment just stay away.