Mwanaume ambaye hana shida yoyote kiafya anatakiwa akae muda gani au dakika ngapi baada ya bao la kwanza ?

Habari za muda huu wadau, naombeni kuuliza eti mwanaume ambae hana shida yeyote namaanisha shida ya kiafya anatakiwa akae muda gani au dakika ngapi baada ya bao la kwanza ? yaani ( refractory period after ejaculation) nimeuliza tu, kwa nia njema sitaki matusi kama hauna cha kucomment just stay away.
MKUU wanaume wapo tofauti sana,, KURUDIA TENDO muda mfupi baada ya kumaliza round ya kwnz hakukufanyi uonekane UNA NGUVU au UNA AFYA NJEMA.,kuwa na NGUVU NI KUKAA MUDA MREFU KWENYE TENDO BILA KUSHUKA NA BILA UUME KUSINYAA,,,pia kurudia TENDO inategemea huyo MWANAMKE AMEKUSISIMUA VP..WAPO WANAWAKE Fulani ukikutana nao KUSIMAMISHA TU NI SHIDA,,na sio kurudia TENDO,,..pia na mazingira yenyewe mlipo,,,mfano upo nyumbanj kwangu,,kuna haja gani ya kukesha na PAPUCHI kutwa nzima? Nina maana tuta DO KIASI,,then story kidogo,,movies na nn,,TUTAKULA,,kunywa THEN MECHI INAENDELEA,,hata tukitumia masaa WAWILI kurudia baada ya TENDO LA KWNZ hakuna shida,,,muhimu ni UUME UWE STEADY FOR LONG PERIOD...mfano unakutana na mwanaume anarudia TENDO kila baada ya dk 10 ,,na akikaa KIFUANI ANAKAA dk 10 ,,,,hata apige rounds 10,,still ni DHAIFU.,,mwanaume strong ni yule anayetumia ZAIDI ya 45 minutes KIFUANI,,,ni yule ambaye hashuki HADI MWANAMKE ASEME""" BABY BASI"" BABY BASI NIMECHOKA,,,huyo ndy KIDUME..
 
Binti, tafuta wanaume watatu wa Dar es Salaam humu ndani, siyo wavulana wa mikoani, piga nao mechi, alafu mwanaume kamili utamjua, very simple.
Hivi neno binti ,inaonakana MTU anaekushushia hadhi Why? Kumtaja mwenzio sex yake wakati humjui !!!
 
Kiafya kabisa,kama umekula vizuri na hauna stress kitaalam wanasema unatakiwa ukae dakika moja tuu.ndio uje raundi nyingine.
 
Kugegedana ni starehe, sio vita na wala sio somo la hesabu. Ukishajua hilo, wakati wa kugegedana subconcious mind controls each and everything
 
Sasa mkuu, dk 45 zote hzo unafanya nn kifuani.. Kama upo kifuani kwa mrembo mpaka dk 20 hujakojoa basi we nothing mwilini mwako zaidi ya kujitafutia nichubuko tu kwa hyo friction unayotengeza.
MKUU wanaume wapo tofauti sana,, KURUDIA TENDO muda mfupi baada ya kumaliza round ya kwnz hakukufanyi uonekane UNA NGUVU au UNA AFYA NJEMA.,kuwa na NGUVU NI KUKAA MUDA MREFU KWENYE TENDO BILA KUSHUKA NA BILA UUME KUSINYAA,,,pia kurudia TENDO inategemea huyo MWANAMKE AMEKUSISIMUA VP..WAPO WANAWAKE Fulani ukikutana nao KUSIMAMISHA TU NI SHIDA,,na sio kurudia TENDO,,..pia na mazingira yenyewe mlipo,,,mfano upo nyumbanj kwangu,,kuna haja gani ya kukesha na PAPUCHI kutwa nzima? Nina maana tuta DO KIASI,,then story kidogo,,movies na nn,,TUTAKULA,,kunywa THEN MECHI INAENDELEA,,hata tukitumia masaa WAWILI kurudia baada ya TENDO LA KWNZ hakuna shida,,,muhimu ni UUME UWE STEADY FOR LONG PERIOD...mfano unakutana na mwanaume anarudia TENDO kila baada ya dk 10 ,,na akikaa KIFUANI ANAKAA dk 10 ,,,,hata apige rounds 10,,still ni DHAIFU.,,mwanaume strong ni yule anayetumia ZAIDI ya 45 minutes KIFUANI,,,ni yule ambaye hashuki HADI MWANAMKE ASEME""" BABY BASI"" BABY BASI NIMECHOKA,,,huyo ndy KIDUME..
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Kisayansi baada ya bao la pumbu hutengeneza nyingine kati ya dakika 9-15 ingawajehutegemea na uzito wa mtu na mvuto pia wa mwanamke aliyekuws naye...!!
Samahani mkuu; mimi napita tu lakini nimeona hii point niirekebishe japo kidogo ili muweze kuendelea na mjadala vizuri:
Kutengeneza (Manufacture) au tuseme kuunda mbegu ya kiume hadi ikomae(sperm) i.e. iwe na uwezo wa kurutubisha, huchukua masaa 48 au zaidi - hii ni tofauti na kutoa mbegu. Kutoa mbegu ni kwamba zipo tayari kwenye "godown" lako ila zimehifadhiwa kwenye mirija ya kuhifadhi mbegu. Kwa lugha rahisi zipo stoo na unachafanya ni mgawo tu i.e. dk. 9-15 au zaidi kama wengine walivyosema. Asante na kwaherini.
 
Habari za muda huu wadau, naombeni kuuliza eti mwanaume ambae hana shida yeyote namaanisha shida ya kiafya anatakiwa akae muda gani au dakika ngapi baada ya bao la kwanza ? yaani ( refractory period after ejaculation) nimeuliza tu, kwa nia njema sitaki matusi kama hauna cha kucomment just stay away.
kama ni k mpya anaunga 2 hadi 3 kama ni ya siku zote moja then analala kabiisa
 
Back
Top Bottom