Mwanaume ambaye hana shida yoyote kiafya anatakiwa akae muda gani au dakika ngapi baada ya bao la kwanza ?

Mwanaume ambaye hana shida yoyote kiafya anatakiwa akae muda gani au dakika ngapi baada ya bao la kwanza ?

Habari za muda huu wadau, naombeni kuuliza eti mwanaume ambae hana shida yeyote namaanisha shida ya kiafya anatakiwa akae muda gani au dakika ngapi baada ya bao la kwanza ? yaani ( refractory period after ejaculation) nimeuliza tu, kwa nia njema sitaki matusi kama hauna cha kucomment just stay away.
kama kila kitu kiko sawa, basi huwa hata sekunde 1 haifiki, yaani unaunganisha.
Usipoweza kuunganisha mpaka la pili lazima kuna sababu hata kama ni ndogo
 
Habari za muda huu wadau, naombeni kuuliza eti mwanaume ambae hana shida yeyote namaanisha shida ya kiafya anatakiwa akae muda gani au dakika ngapi baada ya bao la kwanza ? yaani ( refractory period after ejaculation) nimeuliza tu, kwa nia njema sitaki matusi kama hauna cha kucomment just stay away.
Inategemea na mtu uliyenaye wala hamna formula hapo
 
Watu wengine tukiwa na ugwadu baada ya hilo la kwanza mashine hata hailali.
Ila kama ugwadu hamna basi inasinzia kidogo kabla ya kuendelea na safari.

Factors ni nyingi sana.. kuanzia;
Afya ya mwanaume, usafi na muonekano wa mwanamke, usalama wa mazingira, emotionl na mental state of mind, mautundu ya partner n.k. Yaani ni list
Huyu mdau amemaliza.
 
itategemea na mwanaume husika.
me nakaa mwezi na nusu ndo nipige bao la pili.
 
Hahahahah, hii kitu inategemea na kiwango cha testosterone ya mtu. Kuanzia miaka 30 kwa mwanamume hio hormone inaporomoka kwa kasi sana. So utajikuta hata kama uliwahi kuwa mtu wa kuunga unaeza maliza nusu saa ndio usimame imara tena.

BTW Tanzania ndio nchi pekee ambayo kufanya mapenzi imefanywa kama mashindano flani. Yani kila mmoja anatumia gharama kibao sana ili kufanikisha hilo tendo utadhani kuna tuzo ya mgonganaji bora!
 
Kisayansi baada ya bao la pumbu hutengeneza nyingine kati ya dakika 9-15 ingawajehutegemea na uzito wa mtu na mvuto pia wa mwanamke aliyekuws naye...!!
 
Acha kujitekenya wewe yaani ukutane na bwawa la mtera alafu harufu kama panya kafariki ulinganishe na mnato inayonukia UDI....?????
Chief kwenye bwawa kweli ni shughuli nyingine, maake mnato wa K ndo unaoimarisha uume uweze kusimama barabara na kwa muda mrefu, wanawake wa aina hii kama ni binti wataendelea kukimbiwa na wanaume kila kukicha.
 
Back
Top Bottom