Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Mmh. Mleta uzi umesahau walishasema Wahenga "mchagua jembe si Mkulima".

Mie naona kikubwa kuridhiana na kupendana kwa dhati basi popote Penzi linaweza mea.

Mweleze Hajar , mwenzenu anatoa hukumu kwa kuangalia aina ya kazi afanyayo mtu, sio sahihi, mhukumu mtu kama alivyo mwenyewe.

Anaweza kusema walimu wako poa, lakini ukweli sio wote au hakusikia ya akina Mwl Ayubu
 
Kuna mdada nilimtongoza juzi hapa kijiweni kwetu wakati anacome nikajibeba na kutunisha kifua ili ajae kwa box.

Mazee alivyonijibu eti

"nawee kakifua kama ka bata boda boda yenyewe ya boss".

Nilijua labda Bodaboda yangu mpya hapa kijiweni itanipa Manzi lakini wapi! sasa leo nimepata jibu... Ahsante.
 
Mweleze Hajar , mwenzenu anatoa hukumu kwa kuangalia aina ya kazi afanyayo mtu, sio sahihi, mhukumu mtu kama alivyo mwenyewe.

Anaweza kusema walimu wako poa, lakini ukweli sio wote au hakusikia ya akina Mwl Ayubu
Itakuwa hajajua nini maana ya kupenda.

Yaani kwenye kupendana kwa dhati kila kitu kinafunikwa inabaki mapenzi tu.
 
Back
Top Bottom