Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Itakuwa hajajua nini maana ya kupenda.

Yaani kwenye kupendana kwa dhati kila kitu kinafunikwa inabaki mapenzi tu.

Naamini anasoma comment za wadau, aliandika akiwa na zile story za kupeana na mashoga zake, ohhooo unajuwa madereva bwana wako hivi na hivi, ameishia kusadiki kama imani. Asikumbuke Mzee JK alituonya ya kuwa za kupewa na wewe changanya na zako.

Ama la sivyo labda ni mhanga wa mahusiano toka kundi mojawapo kati aliyoyataja ama yote sasa amekuja kutoa mrejesho indirectly
 
Hahahaaaaa

President for life baby!

Kwani vipi arifu.....nawe unautamani?

Twaweza badili katiba.....

Vigezo sina man, umeweka high standards kiasi kwamba yeyote atakaeukwaa lazima apwaye. Tutabadili katiba utawale milele.

Hili kundi muhimu sana. Ndio maana mleta uzi hawezi hata kuliwazia achilia mbali kulitaja.
 
Ukifunika ndo utateseka,ningelijua ndo inaanza kukujia kichwani,unakaa unawaza,kumbe wanaume hawa ndo walivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hebu funguka vizuri zaidi, kati ya hayo makundi kuna ambalo liliwahi kukuumiza, na wangapi wa aina hiyo, maana mmoja haitoshi ku generalize kundi zima. Mfono, ulikuwa na askari ama dreva mmoja then mka brake kwa matatizo, haimanishi kuwa wote wapo hivyo

Ama uko na Mwl na mambo yako moto kinoma, haimanishi kuwa Walimu wote wako hivyo

cc cutelove
 
Duu inatisha sana, narudia kusema unatisha sana mkuu kwa uzoefu huo, "I mean" umejuaje kama kweli hujawahi ku-date nao. Yaani sasa naanza kuelewa unachomaanisha umewajua vema maana wote hao umedate nao. Duu mbona ni aina mbalimbali. Au umetoa hii kwa kusimuliwa na waliodate nao ama kwa uzoefu wako. Weka vizuri hii, povu ruksa! Maana hamna nyingine tena, tunapata tabu sana!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mdada nilimtongoza juzi hapa kijiweni kwetu wakati anacome nikajibeba na kutunisha kifua ili ajae kwa box.

Mazee alivyonijibu eti

"nawee kakifua kama ka bata boda boda yenyewe ya boss".

Nilijua labda Bodaboda yangu mpya hapa kijiweni itanipa Manzi lakini wapi! sasa leo nimepata jibu... Ahsante.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mdada nilimtongoza juzi hapa kijiweni kwetu wakati anacome nikajibeba na kutunisha kifua ili ajae kwa box.

Mazee alivyonijibu eti

"nawee kakifua kama ka bata boda boda yenyewe ya boss".

Nilijua labda Bodaboda yangu mpya hapa kijiweni itanipa Manzi lakini wapi! sasa leo nimepata jibu... Ahsante.
 
Hakuna mwanaume ambaye hachepuki,labda awe mlokole kweli,hata walokole wenyewe wanaanguka Mara moja moja sembuse mumeo huyo hata kansani huwa haendi,mwanaume bila hofu ya Mungu atachepuka tu eidha awe mwalimu,Fundi,manager au daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom